Kumbe haya mambo yapo eeehhh pole sana aisee.
Nasikia zile simu original za samsung line 2 za mkorea unaweza kublock mpaka msg, lakini sina uhakika sana sijawahi itumia labda jaribu kuulizia wenye nazo watakufahamisha, kisha utaweka line yako humo km itafanikiwa.
nimekubali Rev Masanilo
Dear friends
Having some trouble from an old friend, who keeps calling me with abusive phone calls, midnight calls, beeping etc. I am using an iPhone, how can I stop her phone calls from reaching me? like a block list? is there any codes! Msaada tafadhali
Mch Masa K
Mchungaji,
Kwanza pole na hayo masumbufu.
Kama utakuwa hujafanikiwa, kuna iPhone apps 2 ambazo unaweza kutumia na kukusaidia. Mimi binafsi nimetumia zote hizo mbili na haijali kuwa huko wapi na namba inatoka wapi. Hizo apps ni Mcleaner na iBlock. Hizi apps unaweza kuzi-configure blocking times, days na simu gani ambazo unataka kuzi-block. Apps zote zina package ya ku-block text message.
Vilevile wakati hizo apps zina-block simu, unaweza kuchagua ku-hang-up, send to voicemail au busy signal. Unaweza ku-configure kama unataka kujibu hiyo simu kwa automatic prepared sms.
Kama simu yako iko jailbroken, utapata Mcleaner na iBlock kwenye Cydia au Installous. Hizo apps huwezi kuzipata kwenye Apple Store.
Kama una swali zaidi tunaweza kuwasiliana thru indumeyene@jamiiforums.com
"Mchungaji" kwani huyo mwanakondoo term za contract zenu mwanzoni zilikuwa vipi. Au anamaliza sadaka??
kama walivyosema wadauu kublock number anaweza kukusumbua tu kwa number nyingine. So cha kufanya ili aelwe hutaki usumbufu ;-
- Akipiga pokea then mwambie subiri dk moja then muache hewani hadi akate mwenyewe. Hivyo hivyo hadi atachoka alafu usumbufu utahamia kwenye sms sasa.
Unajua zile ahadi wakati unaomba kura! (Kula) huwa ngumu kutekeleza hasa unapokuwa Raisi Mteule sehemu nyingine.
Unajua zile ahadi wakati unaomba kura! (Kula) huwa ngumu kutekeleza hasa unapokuwa Raisi Mteule sehemu nyingine.