Shida ya hii inablock all incoming calls: unapiga * # 33# hii inactivate barring all incoming calls....
Rev M, kazi uliyotupa ni rahisi sana, inategemea na handset utumiayo, kwa wenye E 71, E72 au yangu E75 unaweza download "advanced communication manger" software kutoka ovi store for free, then hiyo software in option ya ku-set namba zilizopo tu kwenye fonebook ndio zikupigie ikiingia ambayo haipo kwenye fonebook automatically inakuwa blocked. Call barring ina limitation ya all incoming au all international incoming tu ndo zinakuwa blocked, jaribu hiyo option, tanks and if you have any other problem let us know. CHADEMA DAIMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!
nasikia zile simu original za samsung line 2 za mkorea unaweza kublock mpaka msg, lakini sina uhakika sana sijawahi itumia labda jaribu kuulizia wenye nazo watakufahamisha, kisha utaweka line yako humo km itafanikiwa.
Mchungaji...
Hiyo ni abuse kama kutukana au hata kung'ong'a mtu; nijuavyo mimi kuna sheria zinazokulinda na endapo utaripoti basi utapewa msaada hata wa kisheria au law enforcement people may intervene
Sijui mmepeana nini, lakini nadhani you can take that route kwani kama ni kubadili simu, unaweza ukawa umetimiza lengo lake, na kama ni call barring, anaweza kuja na nyingine
BTW, huyo mtu ana akili timmamu kweli? and how did you get involved na mtu kama huyo aisee mchungaji? au ni muumini?
LOL... pole sana, ila mkuu umenifanya nichekeWe need to talk mkuu! Hivi ni vimeo unakutanavyo kwenye maisha ya kawaida unajikuta unagawa namba! Sasa hizi ni repercussion za yatokanayo. Somo linakuwa halieleweki inabakia abuse kwenye simu mambo ya mail nilimaliza kwa kuweka account kwenye junk na spam simu imekuwa balaaa.... haya mambo balaa
We need to talk mkuu! Hivi ni vimeo unakutanavyo kwenye maisha ya kawaida unajikuta unagawa namba! Sasa hizi ni repercussion za yatokanayo. Somo linakuwa halieleweki inabakia abuse kwenye simu mambo ya mail nilimaliza kwa kuweka account kwenye junk na spam simu imekuwa balaaa.... haya mambo balaa
kama cmu yako ingekuwa samsung ungetakwa kwenda settings>application>calls>all calls>auto rejects reject listDear friends
Having some trouble from an old friend, who keeps calling me with abusive phone calls, midnight calls, beeping etc. I am using an iPhone, how can I stop her phone calls from reaching me? like a block list? is there any codes! Msaada tafadhali
Mch Masa K
pole mwana..................!
duu nimecheka i see................!
IVI WEWE NI MCHUNGAJI WA KWELI???. HAYA MAMBO UNAYOYASEMA NI YA KWELI- SI MSULUHISHE KWA BABA ASKOFU????
hahahaaaaaaaaaa... hiii ni kiboko, nimecheka sana leoSWALI
IVI WEWE NI MCHUNGAJI WA KWELI???. HAYA MAMBO UNAYOYASEMA NI YA KWELI- SI MSULUHISHE KWA BABA ASKOFU????
Masa, hebu settle na huyo mdada wa watu, au mrudie kifambafamba... na kuwa unampa dozi mbovu, unavunga umelewa hufai, kila kitu unafanya kinyume, hata mudanganya kwamba kazi umefukuzwa..unaomba pesa ya nauli na ya kula, hadi atakuacha
nimekusoma mkuu... ongeza mapenzi nyumbani, mpotezee huyo n'tu... tena ukiweza piga tripu bongo, kaa miezi miwiliMkuu nina hakika hana picha nami picha alonayo ni ile niko na wasela wengine wakadhaa! Suala la kumrudia halipo maana niko na serious relation na mwakani Sept naowa. Wewe unajua ni mwalikwa na mdau muhimu. Haya mazaga zaga sijui yataishaje isije mkwaza mzenji wangu na shemeji Kibunango.
Jibu!
Ni kweli mimi ni kiongozi wa kiroho na niko na familia yangu. Hili ni kando kando lilitokea tu, kwenda kwa baba askofu nitauwa band. Nadhani umenisoma.