Nitawezaje kublock number ya simu sumbufu?

Mpwa wa ukweli! Nimedownload hii kitu na box. Ngoja niinstall nitakupa mshindo nyuma (feed back) Asante kwa PM pia. Nitakucheki baadaye

Kiswahili kimekukataa mchungaji,

Feedback = Mlisho nyuma.

Hebu nipe namba ya huyo binti anayekusumbua. wengine tuna mahaba ya kusumbuliwa na vibinti.
 
Kiswahili kimekukataa mchungaji,

Feedback = Mlisho nyuma.

Hebu nipe namba ya huyo binti anayekusumbua. wengine tuna mahaba ya kusumbuliwa na vibinti.

HAhahahahaha mkuu wewe nadhani unamninginio wa ziada (Hang over)

NinakuPM hiyo number nikiweka hapa wapwa kama Fidel80 hawakawii kujifanya wao ni Mchungaji Masa nadhani umenielewa.
 
SAMSUNG SGH-D 780 ina option ambayo unaamua kublock either sms or call........ it is fantastic! akisumbua unamtupia kwenye reject list
 
HAhahahahaha mkuu wewe nadhani unamninginio wa ziada (Hang over)

NinakuPM hiyo number nikiweka hapa wapwa kama Fidel80 hawakawii kujifanya wao ni Mchungaji Masa nadhani umenielewa.

Naona imenasa njiani. Niko PM huku natumbua mimacho!
 
Mbu....nimecheka mpaka bac, khaaa tabu kweli kweli...watu wengine hawakubali ukweli mpaka wafungiwe novena...haaa...au Masa alimuahidi kitu kizuri huyu dada sasa kamaliza alichotaka anataka kutokomea machochoroni...lazima akugande hapo.
 
SAMSUNG SGH-D 780 ina option ambayo unaamua kublock either sms or call........ it is fantastic! akisumbua unamtupia kwenye reject list

Asante mkuu

Nadhani hili ni tatizo kwa wengi. Wengi wamenufaika hasa wenye simu za Nokia, Ericson, SAMSUNG etc. Ninampango wa kununua SAMSUNG Omnia ninaambiwa inaoption ya kuweka background kuna namba unweza kuwziweka huko. Msumbufu akipiga basi anasikia kama uko kwenye train, ama kwenye mashine za kusaga mawe kelele mtindo mmoja nadhani hiyo ni best option hata apige mara 30 kwa siku hakuna kuelewana

Asante
 
Mbu....nimecheka mpaka bac, khaaa tabu kweli kweli...watu wengine hawakubali ukweli mpaka wafungiwe novena...haaa...au Masa alimuahidi kitu kizuri huyu dada sasa kamaliza alichotaka anataka kutokomea machochoroni...lazima akugande hapo.

Yaani ungejua mpenzi hakuna kitu hapo ameamua kuwa msumbufu wa karne! Hujambo lakini?
 
Yaani ungejua mpenzi hakuna kitu hapo ameamua kuwa msumbufu wa karne! Hujambo lakini?

cjambo mpenzi wangu....pole sana kwa maswahiba! nadhani ufanye kama Mbu alisema...we akical minyia hapo apige shairi weeee akichoka akate mwenyewe, akiendelea endelea hivyo hivyo, hakuna kujibu sms hata kama kakutukania nani we piga kimya tu, mwisho wa cku atajiona mpuuzi...kuna watu wanapenda kashkash jamani...29 calls, hana shughuli ya kufanya?
 
Halafu wewe? Sijui kwanini sikumisi...........mwone kwanza.
 
Naona Mchungaji anapenda sana mahubiri yako sasa kama unaona anatoa sadaka kiduchu mwambie ajaribu kwa Kakobe

Hahahahaahah anadai anaogopa TANESCO na nyaya zao kwa Kakobe!
 
Kwa kuwa wewe ni mchungaji, basi akipiga tena mpokee kwa maneno ya kichungaji na kumpiga somo la vitabu vitakatifu. Bila shaka atazichoka sera zako na ataanza kuhama....!
 
Nashukuru my dia! ushauri wa Mbu unafanyiwa kazi kwa nguvu zote. Leo umependeza sana nimependa rangi za kwenye vidole vyako hasa unakuwa unatype. Invisible arudishe haraka chat room.

Hiki kimeo ninacho kwa kweli sijui anasoma JF naye hadi sasa ameisha miss call kama 8. Anakera na kuboa
 
Usikumbwe na hili tatizo mwenzangu. Nimempa simu mdada tunashare offce awe anapokea simu na ajifanye kuwa yeye ni items na mimi mpiga simu haelewi anaendelea kutapika sumu kali.

Naona Memory yake haitaki kufuta kilichotokea kati yenu, unaweza rudi tena kwake kwa ajili kufuta memory kwenye kichwa chake.
 
Hapo kwenye red ndicho kinachokuponza Mchungaji, kesho Nyamayao akianza kupiga simu utasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…