Nitawezaje kufanya biashara bila mke kujua?

Huwezi kufanya biashara ya namna hiyo bila mke kujua. Kuna leo na kesho, Leo upo kesho yako haijulikani. Mkalishe chini umuelekeze hasara ya anachokifanya. Kwamba yeye akipata huduma mbovu dukani huwa anarudi tens duka lile?

Tena mwambie tabia yake ya mdomo sio tu inakimbiza wateja. Hata wewe utakimbia uende kwenye customer care murua.
Tatizo ni wewe. Hujasimama kama baba badala ufanye marekebisho unawaza kufungua biashara kwa siri
 
Maisha yenyewe mafupi unaacha kufanya mambo yako kwa amani kisa ni mke asiejitambua..unafel wapi mkuu piga chini.
 
.... ....Kuna asiyeoa anahitaji ushauri wa kuoa au kutokuoa kweli?
 
Huyo mke Lazima atakua kibinti Cha kichaga tu ndo wenye tabia za ajabu ajabu. Hawawazi kesho Bali mashindano ndani ya ndoa.
 
Nimeshawaza Mara kadhaa. Kikao Cha wazazi kilikaa bado akasisitiza yeye hasikilizwi maamuzi ya kufanya biashara naamua mm mwenyewe.. nilijaribu kueleza namna nilivyomfungulia biashara na zilipoishia (kufa) but bado akasisitiza source Ni mm. Hakika ndoa hii Ni Majanga. Najuta kuoa huyu mtu.
Umeshafikiria swala la kuachana na huyo mke??
 
Wewe dini gani?
 

Huo muda wa kufunza mtu mzima huwa mnaupata wapi?
 
kiufupi huyu mkeo ni kichomi kama ulivyosema ila chagua mwenyewe kusuka au kunyoa. nilishawahi kuwa na mke kama huyo nikaja kuachana nae na alilia sana waga wanakuwa hivyo . cha msingi ni kuachana nae tena talaka zote 3. utakuja kunishukuru .
 
Mchaga gani asiyewaza kesho!!
Kiukweli hata mm nashangaa. Mwanzoni enzi za uchumba alikua fighter tumeanza maisha ya chini mno. Baadae nikajiendeleza kielimu nikapata kazi kwenye NGO fulani inahusika na Public Health mshahara ukawa afadhali angalau naweza ku-save hata nikanunua Gari bila mkopo pia nimeanzisha biashara ndogo ndogo (Duka na saloon). Sasa nawaza Kujenga. Ila nadhani itabd iende kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…