Nitawezaje kumpata mpenzi mzungu

Ukikosa kuo, olewa na mzungu ndoto yako itimie
 
Kuoa mzungu ndugu yangu ni kuleta shida maishani mwako. Mwanamke uzunguni ndo mtawala na mwanaune ni kiraka tu
 
asanteni kwa ushauri wenu mpaka hapa naona naenda kulitimiza lengo langu katika mahusiano
 
Mbona sasa ukiona mbongo kaoa mzungu utakuta kuna utofauti was umri mkumbwa sana yaani kijana kamwoa bibi yake mbona hamwapati wenye umri wakuendana?
 
Mbongo tabia yake chovyochovyo ukimngonga Mara moja na kukuta winter we lazima uchepuke akigundua una mchepuko anakutwanga risasi upo
 
Mara nyingi huwa naona weird kwa mwanaume mweusi kuwa na mwanamke mzungu ila kawaida kwa mwanaume mzungu kuwa na mwanamke mweusi.

Anyway jaribu bahati yako maana hao ni wepesi kupenda ili mradi tu uwe unajielewa
 
Kuna Mwanangu Mmoja nae anataka kuwa na demu Mzungu nikampa idea hii, kuwa Rasta kwanza, halafu kuwa na shughuli inayoweza kukutanisha na wazungu wanawake mara kwa mara na itapendeza zaidi ukiwa tall na gentle!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…