nitawezaje kusoma kozi ya 'aeronautics'(aircraft engineering)?

ntita

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
513
Reaction score
285
Mimi ni kijana wa kiume, nina umri wa miaka 22, natoka ktk familia ya kawaida ya kitanzania, ninasoma kdt cha 6 mchepuo wa PCM. Ninatamani sana kusoma kozi ya 'aeronautics'.
Nilifuatilia kozi hii airport dar terminal 1 na kukuta inatolewa kwa ngazi ya certificate na diploma tu na gharama yake ni tshs. 3m kwa mwaka,gharama ambayo siwezi kuimudu.

Nilifuatilia pia kwenye scholarship za Algeria na nilikuta ni kozi mojawapo ila tatizo ni kwamba sisi tuna hati hati ya kwenda jeshini mara tu tutakapomaliza mtihani wa taifa, na hivyo scholarship zinaweza kunikuta jeshini hivyo nikachelewa ku-aply.

Kwa kutambua kuwa wana jf ni waelewa wa mambo, ninaomba msaada kwa yeyote anayefahamu namna ninavyoweza kupata fursa ya kusoma kozi hii, ikiwa ni pamoja na namna ya kupata ufadhili kama upo.
Naombeni sana msaada wenu kwani kozi hii naitamani sana na nina imani kubwa kuwa nitafanya vizuri.
 
naombeni msaada wenu tafadhali.
 
wana jf, naombeni msaada wenu tafadhali.
 
Wafathili mbona wapo. Kuna shirika hapa hapa tanzania zinazotoa sponsor. Kuna shirika za dini,makampuni,watu binafsi nk. Cha msingi usikate tamaa kuendelea kutafuta
 
msiwe mnapenda kutoa majibu ya ujumla kama mafungu ya viazi. kama huna uhakika si mtu unasema hujui.
 
Wafathili mbona wapo. Kuna shirika hapa hapa tanzania zinazotoa sponsor. Kuna shirika za dini,makampuni,watu binafsi nk. Cha msingi usikate tamaa kuendelea kutafuta

kizazi cha mulugo,kuandika unashindwa,rudia darasa la kwanza
 
Unataka ufadhili hata mock tu hujafanya pombav sana. Ukigonga zero itakuaje? Fanya mtihani tuone matokeo ndo uongee hayo unayoongea.
 
mkuu acha matusi bac....umejuaje kam hajafanya mock bado? ungemuulza kwanza...maana kanda ya masharik na nothern zone tayari washafanya mock na majibu yashatoka....kanda ya kusini pekeake ndo bdo haijafanya mock...upo mkuu?
 
nashukuru sana ndg yangu kwa kumueleza, mi niko kanda ya mashariki na matokeo tayari yameshatoka, kwenye PCM nna ESA, na grade zilizotumika ni zile za
A 80-100
B 75-79
C 65-74
D 55-64
E 45-54
S 39-44
F 0-38

Kwenye physics na chemistry tatizo lilikuwa hasa kwenye practicals, na nilipokuwa likizo nimelifanyia kazi. lakini pia nilikuwa sijamaliza baadhi ya topics kwenye hayo masomo, kazi ambayo ndo naifanya sasa na sina shaka hadi tunaingia kwenye mtihani nitakuwa nimekamilisha hivyo nina matumaini makubwa ya kufanya vizuri. hivyo mwenye kujua vyuo vinavyotoa kozi hiyo na mashirika yanayoweza kunipatia ufadhili nitamshukuru sana, kwani nataka nijipange ili nikimaliza mtihani nijue nafanya nini.
 
unasoma shule gani?
 
Deno mafungu umeyafunga wewe? Sponsor zipo kuna rafiki yangu alipata sponsor kupitia kanisa la katoliki ndo maana nikasema hvo. Mafungu mafungu umeyafunga wewe
 
Alifuata utaratibu gani?
 
nashukuru sana ndg yangu kwa kumueleza, mi niko kanda ya mashariki na matokeo tayari yameshatoka, kwenye PCM nna ESA, na grade zilizotumika ni zile za
A 80-100
B 75-79
C 65-74
D 55-64
E 45-54
S 39-44
F 0-38

Kwenye physics na chemistry tatizo lilikuwa hasa kwenye practicals, na nilipokuwa likizo nimelifanyia kazi. lakini pia nilikuwa sijamaliza baadhi ya topics kwenye hayo masomo, kazi ambayo ndo naifanya sasa na sina shaka hadi tunaingia kwenye mtihani nitakuwa nimekamilisha hivyo nina matumaini makubwa ya kufanya vizuri. hivyo mwenye kujua vyuo vinavyotoa kozi hiyo na mashirika yanayoweza kunipatia ufadhili nitamshukuru sana, kwani nataka nijipange ili nikimaliza mtihani nijue nafanya nini.

Umejitahidi...ila ongeza juhudi kwenye physics na chemistry hasa physics!!!
 
Back
Top Bottom