Nitawezaje kutoa msaada huu kwa wahitaji?

Stv Mkn

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
328
Reaction score
273
Nina mavazi ya kiume ya mtu mzima.
Mashati, suruali, makoti, viatu, mabegi,mashuka nk

Mengine yamewahi kutumika na kuna mengine hayajawai tumika.

Naamini kuna watu wanauitaji wa hivi vitu kuliko mimi kuviteketeza.
Kwa mwenye kufahamu namna naweza kuvifikisha kwa wahitaji.

Iwe wazee, watoto nk
Naomba mawasiliano nivifikshe.
 
Mungu akubariki sana, kuna vituo vingi sana inategemea uko wapi ila pia kuna masela kibao mtaani kwako unaweza kuwapa.

Nilishawahi kugawa nguo kwa wanaangu wa mtaani kipindi nabadilisha kambi na wakanikumbuka sana
 
Asante mkuu, mimi nipo DSM. Ila naweza vifikisha popote nikipata mawasiliano.
 
Nina mavazi ya kiume ya mtu mzima.
Mashati, suruali, makoti, viatu, mabegi,mashuka nk

Mengine yamewahi kutumika na kuna mengine hayajawai tumika.

Naamini kuna watu wanauitaji wa hivi vitu kuliko mimi kuviteketeza.
Kwa mwenye kufahamu namna naweza kuvifikisha kwa wahitaji.

Iwe wazee, watoto nk
Naomba mawasiliano nivifikshe.
Naomba niwe msamabzaji huku niliko
 
Kama mtaani unafahamu watu wenye uhitaji unaweza kuwapatia. Ubaya ni kuwa watu wengine wana ego/pride sana unaweza kumpa akaishia kukutukana na kukuambia umemdharau.

Option ya pili unaweza kwenda ukazipeleka nyumba ya ibada huko wao watajua watampatia nani. Ubaya wake pia ni kuwa zinaweza zisiwafikie walengwa.

Either way wewe toa tu na Mungu atakubariki kwa style anayojua yeye.
 
Kiukweli ningependa sana ziwafikie wenye uhitaji.
 
Nina mavazi ya kiume ya mtu mzima.
Mashati, suruali, makoti, viatu, mabegi,mashuka nk

Mengine yamewahi kutumika na kuna mengine hayajawai tumika.

Naamini kuna watu wanauitaji wa hivi vitu kuliko mimi kuviteketeza.
Kwa mwenye kufahamu namna naweza kuvifikisha kwa wahitaji.

Iwe wazee, watoto nk
Naomba mawasiliano nivifikshe.
Munitaji namba Moja ni Mimi hapa
 
Back
Top Bottom