Asante mkuu, mimi nipo DSM. Ila naweza vifikisha popote nikipata mawasiliano.Mungu akubariki sana, kuna vituo vingi sana inategemea uko wapi ila pia kuna masela kibao mtaani kwako unaweza kuwapa.
Nilishawahi kugawa nguo kwa wanaangu wa mtaani kipindi nabadilisha kambi na wakanikumbuka sana
Zifue vizuri, zikunje na zipaki vizuri kisha peleka Kanisani au Msikitini. WatapokeaAsante mkuu, mimi nipo DSM. Ila naweza vifikisha popote nikipata mawasiliano.
Naomba niwe msamabzaji huku nilikoNina mavazi ya kiume ya mtu mzima.
Mashati, suruali, makoti, viatu, mabegi,mashuka nk
Mengine yamewahi kutumika na kuna mengine hayajawai tumika.
Naamini kuna watu wanauitaji wa hivi vitu kuliko mimi kuviteketeza.
Kwa mwenye kufahamu namna naweza kuvifikisha kwa wahitaji.
Iwe wazee, watoto nk
Naomba mawasiliano nivifikshe.
Wazo zuri mkuuZifue vizuri, zikunje na zipaki vizuri kisha peleka Kanisani au Msikitini. Watapokea
Kiukweli ningependa sana ziwafikie wenye uhitaji.Kama mtaani unafahamu watu wenye uhitaji unaweza kuwapatia. Ubaya ni kuwa watu wengine wana ego/pride sana unaweza kumpa akaishia kukutukana na kukuambia umemdharau.
Option ya pili unaweza kwenda ukazipeleka nyumba ya ibada huko wao watajua watampatia nani. Ubaya wake pia ni kuwa zinaweza zisiwafikie walengwa.
Either way wewe toa tu na Mungu atakubariki kwa style anayojua yeye.
Munitaji namba Moja ni Mimi hapaNina mavazi ya kiume ya mtu mzima.
Mashati, suruali, makoti, viatu, mabegi,mashuka nk
Mengine yamewahi kutumika na kuna mengine hayajawai tumika.
Naamini kuna watu wanauitaji wa hivi vitu kuliko mimi kuviteketeza.
Kwa mwenye kufahamu namna naweza kuvifikisha kwa wahitaji.
Iwe wazee, watoto nk
Naomba mawasiliano nivifikshe.