Nitawezaje kutuma maomba TCU

Nitawezaje kutuma maomba TCU

majitta one

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
204
Reaction score
14
Wakuu napenda kuelekezwa ni namna gani ya kutuma maombi tcu ili kuweza pata chuo pamoja na mkopo. nina diploma ya mechanical engineering na napenda kuwa mwl. ktk masomo ya science coz nina gpa ya 3.6 vp naweza pata chuo na mkopo ktk bsc. education?

kiroho safi tu.
 
WAKUU NAPENDA KUELEKEZWA NI NAMNA GANI YA KUTUMA MAOMBI TCU ILI KUWEZA PATA CHUO PAMOJA NA MKOPO. NINA DIPLOMA YA MECHANICAL ENGINEERING NA NAPENDA KUWA MWL. KTK MASOMO YA SCIENCE COZ NINA GPA YA 3.6 VP NAWEZA PATA CHUO NA MKOPO KTK Bsc. Education?

kiroho safi tu.

unawezaa...,ingia www.tcu.go.tz kwa maelezoo zaidi
 
ahsante mkuu. pia kuna fununu kwamba kwa wale tulio na diploma na tumekaa miaka mitatu bila kuomba ni kuwa hatuna sifa ya kupewa mkopo na BODI YA MIKIPO coz wanaamini kuwa tuna kazi na tunaweza jilipia gharama zote. je hii ikweli wake ni upi?
 
kwa hilo cna uhakika
 
Wakuu napenda kuelekezwa ni namna gani ya kutuma maombi tcu ili kuweza pata chuo pamoja na mkopo. nina diploma ya mechanical engineering na napenda kuwa mwl. ktk masomo ya science coz nina gpa ya 3.6 vp naweza pata chuo na mkopo ktk bsc. education?

kiroho safi tu.

Nadhan hauko eligible kuomba Bsc.Ed coz Dip.yko so ya Ed...
Behind that,kwny sector ya ualimu huwez kusoma Bsc.Ed km hukusoma form 5&6 au Dip.Ed nadhan ww hujasoma pia
 
Mkuu mm nimepost kws lengo la kuomba msaada. Ni vgumu kunijua kama nimesoma ama laa. Kama unataka kafahamu kuwa tuliosoma technical college tuna fursa ya kwenda kusomea uslimu tembelea hii website www.sjuit.ac.tz.
Watu wanatoka huku wanaenda uhasibu na shria sembese ualimu....!

No reseach no right to speak.
 
Na mwaka huu chuoni ni mwezi wa ngapi maana form six wanamaliza mitihani yao mwisho wa mwezi wa tano ambapo kikawaida ndo muda wa matokeo kwa ratiba ya zamani. Mwenye uelewa tafadhali
 
Back
Top Bottom