tatizo ndo hilo mtaji! Ila kama ningeweza kupata kama laki 3 hivi mambo yangeweza kubadilika.
Uko wapi? Hebu ni-inbox plani yako ya biashara unayofikiria na jinsi ambavyo laki 3 itazunguka na kuleta faida nione inakuwaje. Wahi kabla ya pasaka, ndo sadaka hii.
Uko wapi? Hebu ni-inbox plani yako ya biashara unayofikiria na jinsi ambavyo laki 3 itazunguka na kuleta faida nione inakuwaje. Wahi kabla ya pasaka, ndo sadaka hii.
Ma-DRS kazi mnayo, ok respond to this severe case.
tafuta biashara ufanye,mtaji sijui utatoa wapi...life gumu dah,hata mie sikumaliza form six lol