Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Juzi kuna mdau alileta thread ya Pi Coin kwa sasa ni bure kabisa. Ina zero value at the market ipo katika phase ya pili ya development. Unachotakiwa ni kuanza kumine mpaka itakapo ingia phase ya tatu ndio watasimamisha mining na kua na value. Ila watu watapotezea 5-10 years later tutaishia kusema ni utapeli tu kumbe wenzako waliinunua wakati ikiwa haina thamani.
 
Huo Uzi wa Bitcoin upo wap [emoji848]
 
Walikuwa wanaichungulia system gani?

Unajua mkuu hapa duniani usiwe sana unafuata herd behavior.. Mungu amekupa akili chunguza mambo, tena yanaweza kukusaidia.. financial market sio kama unavoifijiria.

Kwa kukusaidia.. tafuta kitabu kimeandikwa na mtu anaitwa Michael Steinhardt kinaitwa.. No Bull: my life in and out of markets.. utaelewa vizuri hawa watu wanakuwaje billionaires kwenye stock markets.. BTW Steinhardt ni billionaire pia.

Nisingependelea sana tunavobishana hivi mkuu.

Hata hivo nashukuru kwa offer yako.. nipp arusha sasahiv nikiibuka moshi tutachekiana hapo Hugos
 
Wakumbushe mkuu maisha haya kuna watanzania wengi bado tuko nyuma na hizi financial markets ilihali wenzetu wanatusua huko kupitia hii kitu[emoji109]
Mentality ya watu tayar ipo corrupted.. yaani kuleta tu uzi wa aina hii.. kuna tayar wanadhani eti nataka kuwatapeli akati sijawaomba hata kumi..

Yaani watu hawaangalii upande wa elimu wanaangalia pesa na kutapeliwa.. ni mentality za kimaskini
 
Kuna cryptos sahiv zinafika zaidi ya 10,000 sio guarantee kuirukia yoyote.. hapo pia kuna akili lazima utumie mkuu.. ndo financial markets zilivo
 
Unajua kinachotia hofu ni serikali yenyewe maana ishaona watu wamehamishia mizigo huko hiyo mzunguko ma bank hakuna na wao kama serikali hawapati faida yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…