Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Acha blah blah

Fanya kazi kwa mikono,jenga vitu uza...hizi shortcuts za Financial Markets ni kamari kama zilivyo kamari zingine

Forex ndio kabisaaaa

Heri Bitcoin
Yaani inakuwa kamari kwa sababu huifahamu?

Forex hata banks wana trade utasemaje ni kamari? Benki kuu wenyewe wanafanya speculation.. utasemaje ni kamari?

Chief, we simamia upande unaouamini.. hata hivo sio kila mtu lazima awe investor kwenye financial markets.. hii ni league ya wachache..

Kwa faida yako tafuta kitabu cha Micharl Steinhardt kinaitwa No Bull: My life in and out of markets..
 
Bitcoin ni uwekezaji mzuri uwa najuta kwakuwa ni fursa iliyonipita aisee ila nitanunua kadhaa this time around
 
Elimu hailazimishwi kufundishwa mkuu hasa hzi financial education unless otherwise uwe na agenda zengine za kimasrahi binafsi...

Naona kabsa kama unatoa elimu ya uhamasishaji ktu ambacho kinaweza kikamuangamiza mtu/mali zake....

Acha mtu awe na inner force yeye mwenyewe ya kujifunza hayo mambo....
 
Ishu hiz za crypto na forex ni halali kabisa..tatzo linakuja kwa wanaodeal nazo ..weng matapel na wanatamaa...kuanzia madalal.brokers etc..hao ndo wanaopiga watu.wana generate mirad kwa mgongo wa hizi mambo halaf wanasepa na hela
 
Soma uzi wangu uuelewe.. unatoka nje mada mkuu.. rudia maudhui ya uzi.. vinginevyo unajivunjia heshima yako hapa jukwaani..

Jaribu kuwa objective.. maana naona unanilisha mambo ambayo hata sijayazungumza kwenye uzi
 
Wapi nimelazimisha jamani?? Someni uzi muelewe.. kuna mahali nimesema ni lazima???
 
Bitcoin ni uwekezaji mzuri uwa najuta kwakuwa ni fursa iliyonipita aisee ila nitanunua kadhaa this time around
Zipo cryptos nyingi.. hizi altcoins ndo sahiv watu wanazimulika..
 
Kuna mengi huyafahamu.. Kwani kazi za financial markets ni nini?

Inawezekana hujui connection ya financial markets na hizo unazozisema real business.. tuanzie hapo.. nataka nikupe elimu
 
Wapi nimetoa Siri, mbona unajishtukia mkuu.. soma uzi wangu vizuri.. tatizo unajua kuandika sana .. ila unaongea pumba sana.
 
Wapi nimesema napenda watu wafanikiwe? Usinilishe maneno ambayo sijasema.

Nimekuuliza swali, unajua kazi za financial markets? Usizunguke mbuyu, nijibu nikuelimishe
 
Very primitive Ideas..
 
Mimi sio muumini wa hiyo theory ... Huo ni mtizamo wako Chief, kuna wengi sana akina Warren Buffet, Carl Icahn, George Soros.. et al wametengeneza Billions bila ku produce goods au service..

Walikuwa wanacheza kwenye speculations tu kama hivi
Tuchukulie mfano kukawa na rush watu wengi wakawekeza huko. Unadhani nini kitatokea mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…