Nitazunguka nchi nzima kuueleza uhuni na uongo wa Chadema kwa watanzania - Msigwa

Hii ndiyo maana ya siasa sasa. Asingesema hivyo, tungemshangaa mno.

Siasa yenyewe inataka uende na upepo.
 
Hiyo inakuwa ndio final part of the assignment.

Kwanza ilikuwa Assimilation, ikaja protest, ikaenda withdrawal na mwisho defamation.
 
Wame zunguka wengi bro...
Na Chadema bado iko imara.
 
Hii ni mbinu ya kusaka per diem tu....wanasiasa waliozoea maisha fulanifulani wajanja sana kwenye kusaka mshiko.
 
Huyu nae Hana jipya, sshv tunaangalia namna ya kujilinda na watekaji na wauaji
Asituchoshe,ameona watu hawana Muda nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…