nitoeni ushamba kdg

niwaellyester1

Senior Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
123
Reaction score
22
me tatizo langu dogo tuu, yaan nashindwa kucomment a comment, yaan nikitaka kukoment kwny thread nakuta comment yangu imekaa chini kbs, ila ss nawezaje kucomment a comment? yaan ile labda nina highlight neno ili nilicomment nashindwa, kila cku natafuta option sizioni
 
lo pole kwele unaitaji msaada ni kwa kutumia pc au cm
 
hata mimi siku hizi siwezi ku-highlight wala kuweka hizo templates, n.k. ninatumia laptop (notebook)! msaada wakuu!
 
natumia laptop, sasa wewe unaesema lol, ungekuwa wa maana c ungenielekeza? hovyooooooooo
 

ndo hivyo kaka.una highlight kama ukiona unaandika maneno hayaandikiki maana yake yamejaa inabidi ufute baadhi ili uandike yako jaribu ivy alafu uone.
 

Sijaelewa swali lako, nieleweshe vizuri ili huenda nikakusaidia! Hakuna binaadam asiyekuwa mshamba ktk dunia hii, sema ushamba unazidiana na kutofautiana


Mkuu vipi mbona sikuelewi???!! Hili sio jukwaa la siasa, kama huwezi kutoa ufumbuzi kaa kimya

natumia laptop, sasa wewe unaesema lol, ungekuwa wa maana c ungenielekeza? hovyooooooooo

Mungu na amsamehe kwa kuwa hajuwi alitendalo!!!
 
hapa sio mtu mmoja mwenye tatizo kama hilo hata mimi nina tatizo hilohilo lina nisumbua sana
 
honesty , naona bado cjaweza, nataka kujua jinc unavyoweza kujibu, yaan kama wewe ulivyocomment hii thread umeonyesha jinc ulivyonijibu mie na huyo hinx6, me siwezi , yaan nikicomment najikuta comment imekaa chini kabisa ya thread bt haioneshi namjibu nani
 
Browser yako ipo latest? kama ni internet explorer jaribu kutumia version 8:coffee:
 

Mkuu sijakusoma uzuri swali lako, unamaanisha huwezi kureply with quote kama alivyofanya mkuu baba mtu ktk hii thread?
 

Nimekuelewa unachotaka,kama unataka kujibu comment ya mtu kama nilivyofanya mimi hapa nime quote comment yako cha kufanya kama unatumia simu angalia hiyo comment unayotaka kujibu then press hapo walipoandika reply then itakuja hiyo comment kama unatumia PC Aau laptop angalia sehemu waliyoandika reply with quote then itakupa hiyo comment kwenye kibox chako cha kuandika....lakini pia vile vile comment yako itaenda chini kabisa haiwezi kuwa pale pale ulipotoa ile comment nyingine...jaribu kwanza hiyo then rudi uje utoe feedback kama umefanikiwa au not.....
 
Mkuu sijakusoma uzuri swali lako, unamaanisha huwezi kureply with quote kama alivyofanya mkuu baba mtu ktk hii thread?

Yes mkuu nadhani ana mean hivyo nimejaribu kumpa maelezo hapo naona labda ajaribu anaweza kufanikiwa
 
Mkuu sijakusoma uzuri swali lako, unamaanisha huwezi kureply with quote kama alivyofanya mkuu baba mtu ktk hii thread?
hata kuelezea cwezi , ila ndio hivi najaribu jaribu ,yaan kureply comment, yaan kama kukujibu hapo ulipouliza juu
 
naona nishaweza tyr, kila cku nalionaga hili neno reply with quote ila me nalielewaga tofauti, asanteni wapendwa
 
nimeweza thanx alot mkuu
 
naona nishaweza tyr, kila cku nalionaga hili neno reply with quote ila me nalielewaga tofauti, asanteni wapendwa
hapa ni darasa tupu
natumia mozila, nishaweza tyr, nw shwari
safi
natumia laptop, nishaweza tyr , thanx
wana Jf tunapendana sana
nimeweza thanx alot mkuu
japo wapo wengine wana roho za kwa nini
nimeweza thanx alot mkuu

safi sana mkuu endelea kuwa na moyo huo huo mkunjufu na wa kujikinai maana kutegemeana ni jambo jema,
japo wengine wanajifanya wanajua lakini at the end of all hawana msaada wanaishia kuandika lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…