Yes. Bandari itakutoza nusu ya bei ulio nunulia hio gari lakini ingia mtandao wa TRA utapata makisio ya kodi.Yesu so hapo bado na kodi😂
Hiyo Total Price inaitwa CIF, Cost, Insurance and Freight. Bei halisi ya gari ni $ 2020, mpaka inafika kwenye bandari ya Dar es Salaam itakuwa $ 4,558, Kwa maana inaongezeka gharama ya Insurance and Freight.nilipit mtandao fulani nikaona Gari, ila kunasehemu ikawa inanichanganya sana, mfano Gari nimeona USD 2,020, then kwa chini TOTAL PRICE 4,558. Hili ongezeko ni la kitu gani mara mbili yake. Je ni kodi tayari included or hapo ni kuagiza na kusafirisha tu. Msaada picha mfano👉🏼
Mmh, kazi ipo wacha tuoneHiyo Total Price inaitwa CIF, Cost, Insurance and Freight. Bei halisi ya gari ni $ 2020, mpaka inafika kwenye bandari ya Dar es Salaam itakuwa $ 4,558, Kwa maana inaongezeka gharama ya Insurance and Freight.
Hapo bado tozo ya bandari na TRA.
Hiyo $2,020 ni bei ya kununulia gari likiwa lipo kule kule Japan.nilipit mtandao fulani nikaona Gari, ila kunasehemu ikawa inanichanganya sana, mfano Gari nimeona USD 2,020, then kwa chini TOTAL PRICE 4,558. Hili ongezeko ni la kitu gani mara mbili yake. Je ni kodi tayari included or hapo ni kuagiza na kusafirisha tu. Msaada picha mfano👉🏼