Jibu ni rahisi...uume una mishipa ya fahamu ambayo husense ule mgusano/msuguano kati ya uume na uke (au mkono, mdomo/ulimi), na hiyo ndio inapelekea ile raha na kufika mshindo/kilele. pia mishipa hii ya fahamu husense na joto lile la mle ndani mwa uke ambayo pia huongezea kwenye kufika mshindo mapema.<br />
<br />
Ukivaa condom..ina maana ile hali ya kugusana/suguana kati ya uume na uke, na ile hali ya kuhisi joto la ukeni inapungua, hivyo its logic muda unaochukua kufika mshindo utakuwa mrefu zaidi.