pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Mkojo hauchanganyiki na damu?? Una umri gani?? Usitumie dawa yeyote!!!Wakuu habarin?
Naomba madaktari walipo hapa JF wanisaidie kwa dalili hizi hapa kwenye picha nitumie dawa gani.?View attachment 1148064
Majibu ya hospitali yalikuaje na ulitumia dawa gani kwa muda gani mkuuNimeenda lakini napewa dawa hata siponi ila nilijaribu kumueleza daktari lakini hata kunipima hamna alinipa dawa tu ...ila damu haitoki
Kikubwa nenda kapime maana Zinafanana na dalili za UTI ila hiyo frequently urination fanya ucheki na kisukari.
Nilmueleza tu daktari nikapewa dawa hizi hapa kwenye pichaMajibu ya hospitali yalikuaje na ulitumia dawa gani kwa muda gani mkuu
Kisukari tena..unanitisha mkuu
Sikutishi ila vipimo ni muhimu zaidi kupata uhakika
Na hizo dawa ungepiga picha upande wa jina maana capsules kufanana rangi ni kawaida
Wakuu habarin?
Naomba madaktari walipo hapa JF wanisaidie kwa dalili hizi hapa kwenye picha nitumie dawa gani.?View attachment 1148064
Sio amoxillin hzo ni cephalexin capsule...antibiotic hiyoHizo dawa ni amoxicillin nadhani
Umetumia kwa mda gan hiz dawa na unamezajeNilmueleza tu daktari nikapewa dawa hizi hapa kwenye pichaView attachment 1148471
Umetumia kwa mda gan hiz dawa na unamezaje
Dozi ilisha,dawa inmeweka picha hapo juusema dawa ulizowahi kutumia na kwa muda gani,je dose iliisha?
Kama zipi mkuu?Cystitis in inflammation of urinary bladder and ureter... So nakushauri tumia combination ya antibiotic