Nitumie dawa gani kwa tatizo la cholinergic urticaria

Nitumie dawa gani kwa tatizo la cholinergic urticaria

ANKO JEI

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
1,302
Reaction score
2,462
Habari wakuu

Jana niliweka uzi hapa nikiomba msaada wa tatizo langu la kupata vichomichomi mwilini joto la mwili linapopanda,asante kwa waliotoa mawazo yao

Baada ya kuzama mtandaoni na kugoogle sana nikakutana na majibu ambayo yanaendana kabisa na tatizo langu na kitaalamu wanaita cholinergic urticaria,kwa dalili zake zilivyo nikaona kabisa linaendana na tatizo langu.
Hivyo naomba msaada wa mtaalamu anaejua dawa za kutumia kwa hili tatizo.

Unaweza niuliza kwanini sijaenda hospitali,well niko sehemu ya mbali sana hivyo nahitaji msaada wa awali ambao ni dawa then nitaporudi mjini ndipo niweze kwenda hospitali na dawa walizoandika mtandaoni kiukweli sijazielewa nadhani zimeandikwa kwajili ya madokta kuelewa,binafsi sijaelewa.

Tafadhari naomba msaada.
 
Back
Top Bottom