Nitumie dawa gani mpenzi wangu aniache automatically?

Dah..wanaume tuwe na huruma jamani...
 
Anza kupiga gemu za kichovu.
 
Hakunaga namna yoyote ya kumuacha mtu asiumie tena anaekupendaa hakunaa kbsaa

Cha muhimu bro mchanee tu ataumiaa lkn atazoeaa "time heals"
 
[emoji23][emoji23]

Apo hachomoki sasa sijui huruma ni yanini wakati hampendi tena. Kadri siku zinavyosonga ndio binti anazidi kuongeza upendo bora ampige chini mapema kumuepushia maumivu baadae na kumpotezea mda
 
Nipe namba yake nikusaidie mkuu very fast atakuacha
 
muombe Tigo tu ndo itakua tiketi ya kukupiga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…