Nitumie dawa gani mpenzi wangu aniache automatically?

Nahitaji kuachwa, nahitaji kuachwaaaaaa, nahitaji kuachwaaaaaa (kwa sauti ya Nireeeteeeeni Gwajimaaaaaa)......
._Ngoja wakuzimie eisi. utaachwa tu.
 
Mkuu..ulisema.mkeo anasali usiku na mchana kumgundua mchepuko wako..na Wewe ukikasirika kuwa HUNA mchepuko..

Huyu mpenzi Umemtoa wapi Sasa. ? Bujibuji
 
Dah kwanza nimecheka,bujibuji mshenzi wewe na hata kuacha ng'oo

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mara umeoa.mara hujawai cheat.maraa una mpenZ...

Enewei...anza kumkopa hela..halaf usiwe unarudisha. Mtagimbana tu
 
Mbona imeisha hiyo cha msingi we kosea njia kimakudi atakimbia mwenyewe.
 
Mara umeoa.mara hujawai cheat.maraa una mpenZ...

Enewei...anza kumkopa hela..halaf usiwe unarudisha. Mtagimbana tu
Muongo Muongo huyu... Mara alikutana na mke wake wote wakiwa wasafi, na hajawai KUCHEAT... Saiv Ana mpnz....loooh
 
Kama hutaki kumuumiza ina maana hutamuacha.
 
Pole Mkuu Bujibuji! unasema kweli nikupe njia rahisi??

Fanya hivi nitumie number yake ya simu hata E-mail Address yake nitamumwagia mipicha na misifa kibao ya mitongozo!! sasa hapa wewe ukuje juu! umlaumu mwambie kwa kumlaumu una wanaume wengi sana,


Hata akilia wee komaa nae tuuu, mimi huku nakomaa kutuma sms.. halafu nambie anapatikana wapi ili utukamate ugoni kirahisi siyo kwamba namfanya au nitamfanya la hasha!! hata!! tutaonge tuu! halafu muache kabisaaa atafute mwingine!! au unasemaje?
 
Umerogwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…