Nitumie formula/njia gani kupata mtoto wa kiume?

Nitumie formula/njia gani kupata mtoto wa kiume?

Mteleve

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
14
Reaction score
0
Naomba msaada wa kitaalamu,

Ikiwa yupo anayefahamu njia ya kuchagua mtoto ili nichague mtoto wa kiume. Nilale na mwanamke wakati gani? Siku gani? Au nile chakula gani? n.k.

Naomba msaada
 
Ni mkeo?
Kama kalenda yake ya mzunguko wa mwezi iko sawa. Na mnajua ni siku gani yai linakomaa (ovulation). Basi mfanye tendo la ndoa siku ya ovulation au siku mbili baada ya ovulation
 
Ni mkeo?
Kama kalenda yake ya mzunguko wa mwezi iko sawa. Na mnajua ni siku gani yai linakomaa (ovulation). Basi mfanye tendo la ndoa siku ya ovulation au siku mbili baada ya ovulation

Ndiyo, ni mke wangu.
Nashukuru kwa msaada wako, nitafanyia kazi. Mungu akubariki.
 
Tumia siku ya 14 ....after MP...maana yai huish 24 hrz and male sperms average survival for 3 days while other goes to 5days.....Y chromosome za mwanaume huwa active sana na short life span...while x za mwanaume huwa slow na longlife span...ukumbuke Y za mwanaumbe ndo hutoa mtoto wa kiume ..so use 14 day effectively kama mkeo mzunguko wake uko consistency...
 
Ni mkeo?
Kama kalenda yake ya mzunguko wa mwezi iko sawa. Na mnajua ni siku gani yai linakomaa (ovulation). Basi mfanye tendo la ndoa siku ya ovulation au siku mbili baada ya ovulation

Ushauri huu hapa, usisahau kutumia kondomu
 
Back
Top Bottom