Nitumie kimiminika gani kusafisha saketi ya kifaa cha umeme

Nitumie kimiminika gani kusafisha saketi ya kifaa cha umeme

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Nina router nataka kuisafisha nimeshaifungua lakini nimeona niwaulize nitumie kimiminika gani kuisafisha
 
Waweza tumia ata petroli kama itakua ngum kupata waweza tumia mafta ya taa
 
IMG_20240429_043332.jpg

CRC / WD-40 ila iwe ya Electronic
 
Naskia ht konyagi ni spirit hvy unaweza kutumia
 
Back
Top Bottom