mafua ya nazi eeh naona viungo vya uarabuni😅😅Mafua ya nazi.
Sukari.
Limao.
changanya hivi vitu alafu masaji mikono yako kisha osha. Alafu niambie jinsia yako na mafuta unayopaka.
Hii inakakamaza ngozi hatari aisee yani rona iishe tu jamani😎Sanitizer.
Huo mchanganyiko wanatumia sana wanawake wapaka cream mikono yao inakuwaga migumu sanaaa.mafua ya nazi eeh naona viungo vya uarabuni😅😅