Nchiyanguu
JF-Expert Member
- Sep 3, 2021
- 295
- 561
hivi ALAF ile jam yao ya kusubiri imepungua siku hizi wakuu?Tulia hivyo hivyo
Dunduliza ukanunue ALAF
Umemaliza utata mkuu,huko kwingine ni basi tu ni upungufu wa vitamini mifukoniKama umeshindwa ALAF nenda kwa Sunshare au Ando
Haipo mkuu.hivi ALAF ile jam yao ya kusubiri imepungua siku hizi wakuu?
Nimesikia sana ubora wa mabati ya ALAF lakini kuna mabati hawa KAMAKA wanaleta yeyote mwenye info?Usijaribu kuhangaika na bati ya aina yoyote zaidi ya ALAF. Vinginevyo bora uendelee kuvumilia kama ulivyovumilia mpaka kufikia hapo. ALAF za moto lakini ndio kilicho bora. Ukichukua tu aina nyingine utakuja kujuta milele
Bati ni ALAF no way outKipengele Cha mabat kinachanganya sana
Bei ni changamoto na Kuna sehemu upatikananji ni mgumuBati ni ALAF no way out
kinglionYale anayoyatangaza yule jamaa wa comedy Azam ni kampuni gani
Yule anaesema Nimechanganyikiiwwaaa
Huyo atakua Chinese tukinglion
Bati ni alaf au Nabaki Africa hizo zingine ni takatakaHabari za asubuhi wana jukwaa wenzangu.
Naenda moja kwa moja kwenye maada nipo kwenye hatua ya kupau nyumba. Nimeumiza kichwa sana kuwa ni bati gani ambazo zitaendana na uwezo wangu ALAF achana nazo bei zake za moto sana.
Je kati ya bati bomba na dragon mnanishauri ipi? Au kampuni ipi nyingine ni bora na nafuaa?
Na je nimesikia kuwa mabati ya migongo mipana haidumu kama ya migongo midogo. Je, hili lina ukweli?
Ahsanteni sana, naomba mawazo yenu.