Nitumie mabati gani kati ya Bomba na Dragon?

Huyo atakua Chinese tu
uzuri geji zinakuwa wazi na aina ya rangi iliyo tumika ni nzuri kwa mazingira gani.nafikiri tupende kuwatumia watalamu wa kazi husika

shida si mabati shida ni uchaguzi usio sahihi kwa wajenzi
 
Kama huna ela nunua dragon ,simbadun migongo midogo ambayo hayana rangi G-30 utakuja nishukuru miaka 7mbele

Kama huna kibunda cha kutosha msiangaike na bati za rangi chukua rowasa mgongo mdogo bandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…