LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Habari za humu wakuu mimi maisha yangu na huyu mwanamke yamekuwa ni ya ugomvi kila wiki haiishi bila kugombana.
Ugomvi mkubwa hasa ni wa tendo pia ni mtu wa kununa kila wakati sasa tunae watoto wawili bado wadogo,
Sasa kuondoka hataki na tumepanga upendo kati yetu umekwisha na sioni njia nyingine zaidi ya kila mtu kufata maisha yake.
Nawaza nimuachie hili geto nikapangishe upya.
Na ameapa hataondoka hata nimlete mwanamke mwingine hapa ndani na sijafunga nae ndoa.
Je, ni tumie njia gani aondoke au mm ndo niondoke.