Asante kwa ushauriPole Sana mkuu
Kama mnagombana hiyo nyumba haiwezi kustawi kwa jambo lolote.
Ushauri naomba ujitahidi kumpa ushindi na uwe positive Sana
Ugomvi ni kitu kibaya Sana
Pia waweza tumia njia za Asili Kama kuamka usiku kuomba , kuogea chumvi ya mawe mambo yote urejesha UPENDO uliopotea.
Nakuombea Amani itawale ktk familia yako.🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Biblia inasema enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili,ukiona mnagombana sana ujue Huna akiliHabari za humu wakuu mimi maisha yangu na huyu mwanamke yamekuwa ni ya ugomvi kila wiki haiishi bila kugombana.
Ugomvi mkubwa hasa ni wa tendo pia ni mtu wa kununa kila wakati sasa tunae watoto wawili bado wadogo,
Sasa kuondoka hataki na tumepanga upendo kati yetu umekwisha na sioni njia nyingine zaidi ya kila mtu kufata maisha yake.
Nawaza nimuachie hili geto nikapangishe upya.
Na ameapa hataondoka hata nimlete mwanamke mwingine hapa ndani na sijafunga nae ndoa.
Je, ni tumie njia gani aondoke au mm ndo niondoke.
Asante kwa ushauri
Kama anakubania wewe kuna mwingine anapewa yote... piga chini huyoUgomvi mkubwa hasa ni wa tendo
Kama sio tabia yake tambua pana roho chafu imemwingia ndani shughulika na hio roho mkae sawa.
Ntaufanyia ushauri wako kaziHuwa kuna mbinu Fulani mfano mkeo akiwa stubborn (mkaidi) wewe unakuwa Una play role yako effectively kwa kutoa matumizi kuangalia watoto n.k
Na kipindi Ambacho mpo katika migogoro wewe unatumia Kama Advantage kwa Ku-focus na watoto na kuhakikisha huduma zinaimalishwa.
Nakupa uhakika ukiwa positive mke wako atabadilika mpaka utashangaa
Jaribu hii mbinu itakueletea matokeo kwa haraka.
Divorce -Taraka
Matusi
Kugomabana
Kurushiana matusi (harsh words)
Haya mambo yote ni devil's plan
So usiruhusu kuwa possesed by demons in ur marriage.
Usifatishe ushauri wowote wa kumfukuza mke wako at the early stage
People does change