Kama bado una nafasi ya kukojoa ongeza ufundi atarudiWakuu habari za asubuhi?
Amaan naombeni ushauri,wiki iliyopita nilifanya kosa nikaachwa na mpenzi wangu,nimemuomba msahama amegoma katakata kwamba hatuwezi kuendelea kuwa wapenzi tena, juzi tulikutana sehemu nikaomba mechi nikapewa,
Jana pia nilimuomba akanipa lakini bado kasimamia msimamo wake kwamba ashaniacha,nitumie mbinu gani kurudisha penzi? hivi unaweza kuachwa huku ukiendelea kupewa pa...chi?
Anataka na kubebishwaAnakupa puchi bado unataka mbinu za kurudisha penzi...!!![emoji23][emoji23] Endelea kubembeleza.
Saaana tu mwanamke anaweza kukuacha katika mwili wa akili na bado ukawa upo katika mwili wa hisia na Kama akifikia maamuzi ya mwili wa akili na akawa na msimamo amin ipo ck mwili wake wa hisia utapata hisia nyingine ndo hapo utaachwa mazimaWakuu habari za asubuhi?
Amaan naombeni ushauri,wiki iliyopita nilifanya kosa nikaachwa na mpenzi wangu,nimemuomba msahama amegoma katakata kwamba hatuwezi kuendelea kuwa wapenzi tena, juzi tulikutana sehemu nikaomba mechi nikapewa,
Jana pia nilimuomba akanipa lakini bado kasimamia msimamo wake kwamba ashaniacha,nitumie mbinu gani kurudisha penzi? hivi unaweza kuachwa huku ukiendelea kupewa pa...chi?
Fanya diversification ya akili na muda wako, sio nguvu zote unaelekeza kwenye mapenzi tu.Wakuu habari za asubuhi?
Amaan naombeni ushauri,wiki iliyopita nilifanya kosa nikaachwa na mpenzi wangu,nimemuomba msahama amegoma katakata kwamba hatuwezi kuendelea kuwa wapenzi tena, juzi tulikutana sehemu nikaomba mechi nikapewa,
Jana pia nilimuomba akanipa lakini bado kasimamia msimamo wake kwamba ashaniacha,nitumie mbinu gani kurudisha penzi? hivi unaweza kuachwa huku ukiendelea kupewa pa...chi?
Kumbe? Nawezaje kurudisha imani ?Saaana tu mwanamke anaweza kukuacha katika mwili wa akili na bado ukawa upo katika mwili wa hisia na Kama akifikia maamuzi ya mwili wa akili na akawa na msimamo amin ipo ck mwili wake wa hisia utapata hisia nyingine ndo hapo utaachwa mazima
Kwa hiyo fanya kila liwezekanalo ili abadiri akili yake
Wanaume wengi huwa wanadhani ukipewa mechi Basi kuna bondi halisi
Hakika hili siyo kweli. Mwanamke anaweza kukupa lakini wakati wa tendo akiwa anavuta hisia za mtu mwingine
Akili sijui mnaziwekaga wapi?
Ndio kaka nilikuwa na mpango ,ila kana kiburi Sana sijui kwa sababu ya ufupi halafu mim mrefu? Nimejitahid kuvumiliaKumbuka kuvaa ndomu brother kwa huyo mwanamke.
Una mpango wa kuoa?
Kama huna huo mpango we chapa tu hapo usisahau ndomu ndugu.
UKIMWI UNAUA
Kaka kwa hilo tu sina tatizo coz muda mwingi nashinda job nikiingia asubuhi kutoka ni saa 4 usiku,sometime naunganisha night shift,binafisi ni mim ni mgumu kupenda ila hapa nikiri kwamba nimependa,katoto kenyewe kana miaka 21 tu lakini kananivuruga balaa[emoji1787][emoji1787]Fanya diversification ya akili na muda wako, sio nguvu zote unaelekeza kwenye mapenzi tu.
[emoji23][emoji23]Shukuru hata unapewa papuchi kuna wenzio wakishaachwa hawalambi kitu...unapiga vuzi alafu unalalama...acha uboya