NItumie mbinu gani niweze kutoa makunyanzi usoni?

E,
Wakuu ni mbinu gani nitumie ili kuondoa makunyazi usoni!?maana kila time naonekana kama nimekasirika kumbe sio
U. Itumie hiyomsura yako unayosema mbaya haaaa kikubwa kwanza unasema kama umekasirika kilichopo moyoni mwako kinakuwa reflected usoni.... anza ndani ya moyo then toka nje lean to be happy jifunza kucheka , fanya relaxaction ya misuli ya uso kwa kujichua mfano makunyanzi ya juu ya macho jichue kwenya nje au nenda kwa wale wadada wenye mikono. Ilaini saloon mbona utaipenda kunywa maji ,engi na vyakula vyenye vitamin A C C mwili utajiongeza wenyewe pole san .., ushauri wa mshana jr Zingatia
 
Sawa mkuu
 
Uwee unaenda sana stand up comedy kila kichekesho ww Cheka sana baada ya mwezi rudi kuleta mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…