mm nimepanda ukoka karibu eneo lote la home kwangu nina garden tatu nimejifunza vingi sana hadi kuja kuujulia.kwanza kabisa wengi tunakosea kama mm nilipanda tu bila kufuata wataalam wa garden yaani nilinunua ukoka nikaja upandikiza home garden ya kwanza ikaanza kumbe eneo halikua rafiki halina rutuba na nunu ni udongo ambàpo kuna mchwa sana kwa chini so ulinihangaisha sana unakatwa unakua njano nikafanya utafiti wangu wapi nikamuita mtu wa darden ambae nilinunua ukoka kwake kuja akaniambia ni mcgwa na rutuba so soln ni mbili kuutoa wote achimbe kumtoa malkia wa mchwa then tuletr udongo mpya mwekundu o mweusi wenye rutuba au njia ya pili ni kua naweka dawa za mchwa na mbolea ya chumvichumvi kila muda fulani so nilichagua njia ya 2 mm hua naweka chumvi chumvi na kupulizia dawa za mchwa mara 2 kwa kwaka.nenda kkoo nunua gradiator au dudu... za mchwa chukua yeyote ya chwa pulizia ktk garden yako mwagilia sanaaaaa kwa muda wa wiki ili iingie chini then kaa kama wiki 3 mwaga chumvichumvi mwagilia mnoooo kwa siku kadhaa utaona mabadiriko makubwa sana muda woote utakua na ukoka wa kijani
zingatia unapowek a mbolea ya chumvi chumvi siku 3 za mwanzo halikisha unamwagilia asbh na jion then mara moja kwa siku kwa siku kadhaa ili ukoka usiungue ingawa hata ukibabuka hua unajitudia kijani
au
usithubutu kuweka mbolea ya wanyama o ndege labda iwe kama ungaunga na kavu ila kama mbichi na inamafundofundo hua na mchwa balaa na wadudu hatarishi kwa ukoka wako.
karibu tutunze mazingira Tanzania ya kijani inawezekana.
you can follow me in instagram as kilimo.biashara