Hao wadudu ni mchwa huwa wanakula mizizi ya ukoka unashangaa tu ukoka unakua wa njano na kunyonyoka. Piga dragnet itasaidia kidogo. Kuhusu mbolea ni samadi japo nayo huwa inaleta majani mengine mengi sana.Habarini wana JF.
Nimepanda ukoka katika eneo langu nyumbani. Changamoto niipatayo ni aina gani nzuri ya mbolea ambayo utafanya ukoka uwe mzuri na wenye afya na kuvutia?
Kwa wale wataalam wa mambo ya garden waje apa kunishauri.
Na pia hata dawa ya wadudu wanaushambulia sana unakuwa unanyonyoka kama kichwa cha mtu aliyekatwa nywele hasa wakati wa kipindi cha mvua.
Samadi ya kuku ndo kiboko yake mkuu. Ni mbolea bora sana kwa ukoka,maua na mboga mbogaYaani ukoka unanisumbua sana ngoja nikae hapa nijifunze.
Habarini wana JF.
Nimepanda ukoka katika eneo langu nyumbani. Changamoto niipatayo ni aina gani nzuri ya mbolea ambayo utafanya ukoka uwe mzuri na wenye afya na kuvutia?
Kwa wale wataalam wa mambo ya garden waje apa kunishauri.
Na pia hata dawa ya wadudu wanaushambulia sana unakuwa unanyonyoka kama kichwa cha mtu aliyekatwa nywele hasa wakati wa kipindi cha mvua.
Somo zuri.mm nimepanda ukoka karibu eneo lote la home kwangu nina garden tatu nimejifunza vingi sana hadi kuja kuujulia.kwanza kabisa wengi tunakosea kama mm nilipanda tu bila kufuata wataalam wa garden yaani nilinunua ukoka nikaja upandikiza home garden ya kwanza ikaanza kumbe eneo halikua rafiki halina rutuba na nunu ni udongo ambàpo kuna mchwa sana kwa chini so ulinihangaisha sana unakatwa unakua njano nikafanya utafiti wangu wapi nikamuita mtu wa darden ambae nilinunua ukoka kwake kuja akaniambia ni mcgwa na rutuba so soln ni mbili kuutoa wote achimbe kumtoa malkia wa mchwa then tuletr udongo mpya mwekundu o mweusi wenye rutuba au njia ya pili ni kua naweka dawa za mchwa na mbolea ya chumvichumvi kila muda fulani so nilichagua njia ya 2 mm hua naweka chumvi chumvi na kupulizia dawa za mchwa mara 2 kwa kwaka.nenda kkoo nunua gradiator au dudu... za mchwa chukua yeyote ya chwa pulizia ktk garden yako mwagilia sanaaaaa kwa muda wa wiki ili iingie chini then kaa kama wiki 3 mwaga chumvichumvi mwagilia mnoooo kwa siku kadhaa utaona mabadiriko makubwa sana muda woote utakua na ukoka wa kijani
zingatia unapowek a mbolea ya chumvi chumvi siku 3 za mwanzo halikisha unamwagilia asbh na jion then mara moja kwa siku kwa siku kadhaa ili ukoka usiungue ingawa hata ukibabuka hua unajitudia kijani
au
usithubutu kuweka mbolea ya wanyama o ndege labda iwe kama ungaunga na kavu ila kama mbichi na inamafundofundo hua na mchwa balaa na wadudu hatarishi kwa ukoka wako.
karibu tutunze mazingira Tanzania ya kijani inawezekana.
you can follow me in instagram as kilimo.biashara
Mkuu naomba msaada wako wa kuua majani vamizi kwenye ukoka ambayo itaacha ukoka salamaHao wadudu ni mchwa huwa wanakula mizizi ya ukoka unashangaa tu ukoka unakua wa njano na kunyonyoka. Piga dragnet itasaidia kidogo. Kuhusu mbolea ni samadi japo nayo huwa inaleta majani mengine mengi sana.
Mkuu naomba msaada wako wa kuua majani vamizi kwenye ukoka ambayo itaacha ukoka salamamm nimepanda ukoka karibu eneo lote la home kwangu nina garden tatu nimejifunza vingi sana hadi kuja kuujulia.kwanza kabisa wengi tunakosea kama mm nilipanda tu bila kufuata wataalam wa garden yaani nilinunua ukoka nikaja upandikiza home garden ya kwanza ikaanza kumbe eneo halikua rafiki halina rutuba na nunu ni udongo ambàpo kuna mchwa sana kwa chini so ulinihangaisha sana unakatwa unakua njano nikafanya utafiti wangu wapi nikamuita mtu wa darden ambae nilinunua ukoka kwake kuja akaniambia ni mcgwa na rutuba so soln ni mbili kuutoa wote achimbe kumtoa malkia wa mchwa then tuletr udongo mpya mwekundu o mweusi wenye rutuba au njia ya pili ni kua naweka dawa za mchwa na mbolea ya chumvichumvi kila muda fulani so nilichagua njia ya 2 mm hua naweka chumvi chumvi na kupulizia dawa za mchwa mara 2 kwa kwaka.nenda kkoo nunua gradiator au dudu... za mchwa chukua yeyote ya chwa pulizia ktk garden yako mwagilia sanaaaaa kwa muda wa wiki ili iingie chini then kaa kama wiki 3 mwaga chumvichumvi mwagilia mnoooo kwa siku kadhaa utaona mabadiriko makubwa sana muda woote utakua na ukoka wa kijani
zingatia unapowek a mbolea ya chumvi chumvi siku 3 za mwanzo halikisha unamwagilia asbh na jion then mara moja kwa siku kwa siku kadhaa ili ukoka usiungue ingawa hata ukibabuka hua unajitudia kijani
au
usithubutu kuweka mbolea ya wanyama o ndege labda iwe kama ungaunga na kavu ila kama mbichi na inamafundofundo hua na mchwa balaa na wadudu hatarishi kwa ukoka wako.
karibu tutunze mazingira Tanzania ya kijani inawezekana.
you can follow me in instagram as kilimo.biashara
Yatumie kama mboga, hutapata shida tenaMkuu naomba msaada wako wa kuua majani vamizi kwenye ukoka ambayo itaacha ukoka salama
Hakuna dawa inayoua majani mengine na kuacha ukoka maana ukoka nao ni majani vilevile. Tafuta watu wa kung'olea ukipata wazuri waking'olea mara 2-3 majani yataisha kabisa.Mkuu naomba msaada wako wa kuua majani vamizi kwenye ukoka ambayo itaacha ukoka salama