frenderPH
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 621
- 817
Wadau kama mada inavyojieleza, Soon hapa nimepatwa na tatzo la chinusi za ajabu ajabu usoni nikaulizia dawa kwa sister angu mmoja akanambia n2mie tube flan hvi inaitwa GOLD TOUCH na imesaidia kwa kias kikubwa sana saiv pimples zote zmeisha, Tatzo lililobaki ni makovu meusi ndo yananitatiza.
Kama unajua dawa tafadhali naomba unisaidie ..
Kama unajua dawa tafadhali naomba unisaidie ..