Manjano au kiazi mviringoWadau kama mada inavyojieleza, Soon hapa nimepatwa na tatzo la chinusi za ajabu ajabu usoni nikaulizia dawa kwa sister angu mmoja akanambia n2mie tube flan hvi inaitwa GOLD TOUCH na imesaidia kwa kias kikubwa sana saiv pimples zote zmeisha, Tatzo lililobaki ni makovu meusi ndo yananitatiza.
Kama unajua dawa tafadhali naomba unisaidie ..
Matumizi ya kiazi mviringoManjano au kiazi mviringo
Jipe muda zitaishaWadau kama mada inavyojieleza, Soon hapa nimepatwa na tatzo la chinusi za ajabu ajabu usoni nikaulizia dawa kwa sister angu mmoja akanambia n2mie tube flan hvi inaitwa GOLD TOUCH na imesaidia kwa kias kikubwa sana saiv pimples zote zmeisha, Tatzo lililobaki ni makovu meusi ndo yananitatiza.
Kama unajua dawa tafadhali naomba unisaidie ..
Ni miezi kama miwili yatapotea. Asiwe na haraka. Akihangaika kutafuta remedy na mabaka anaweza aambiwe paka hiki kiongeze tatizo.Kula vizuri, maji mengi , mazoezi jikubali una baka .. miaka inavyokwenda yataisha
Gombeyehealthcare, mawasiliano zaidi piga simu namba 0678211747. Utapewa dawa Bora na ambayo imewasaidia wengi. Tupo dar es salaam, ILALA BOMA MWALU HOUSE. Na mikoani huduma zetu zipo pia.Wadau kama mada inavyojieleza, Soon hapa nimepatwa na tatzo la chinusi za ajabu ajabu usoni nikaulizia dawa kwa sister angu mmoja akanambia n2mie tube flan hvi inaitwa GOLD TOUCH na imesaidia kwa kias kikubwa sana saiv pimples zote zmeisha, Tatzo lililobaki ni makovu meusi ndo yananitatiza.
Kama unajua dawa tafadhali naomba unisaidie ..