Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Habari I Wakuu
Shida yangu ni moja.. Nina viatu vyangu brand "Clark" hvi majuzi vimemwagikiwa na mafuta ya nywele almaarufu "Olive" ambayo yamekuja kutengeneza madoa ambayo yameonekana ni magumu kutoka licha ya kuosha vizuri hvyo viatu na kuspray dawa yake official ya kiatu cha ngozi kama hicho Ila naona madoa yameendelea kubaki.
So nipo hapa kuomba msaada wa dawa au chemical yoyote ninayoweza kutumia na kuondoka haya madoa..
Ni viatu vya gharama sana, Hadi Kichwa kinaniuma hapa.