Nitumie nini kuondoa weusi kwenye midomo (lips)

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,092
Wakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.

Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu akiniona ananiambia vipi unavuta bangi asee huwa na boreka kinyamaaaa.

Au ukipiga story ukicheka utaskia mtu anaropoka pembeni kashakula majani ya bob.

Ila shida ni hizi lipsi nyeusi.

Sa naomba kupata msaada nafanyaje...??
Nipate lipsi zisizo onesha kula msuba

Alisikika jamaa mmoja anaomba ushauri kuhusu lipsi zake.[emoji23]
 
Zaburi 139:14 Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa
Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha.
Matendo yako ni ya ajabu,
Na nafsi yangu yajua sana,
 
Wakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.

Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu akiniona ananiambia vipi unavuta bangi asee huwa na boreka kinyamaaaa.

Au ukipiga story ukicheka utaskia mtu anaropoka pembeni kashakula majani ya bob.

Ila shida ni hizi lipsi nyeusi.

Sa naomba kupata msaada nafanyaje...??
Nipate lipsi zisizo onesha kula msuba

Alisikika jamaa mmoja anaomba ushauri kuhusu lipsi zake.[emoji23]
Acha fegi
 
Tumia carotone BSC ni kikopo kidogo kinauzwa elf5, paka usiku mda wa kulala ili usijilambe mdomo

Matokeo huanza kuonekana after 2 weeks, pia zidisha kula machungwa ili upate Vit.C
 
Aiseee kweli kila mtu na shida yake mimi nataka dawa za kuzifanya nyeusi apart from canabis nachukia rangi yake imekaa kiwaki sana
 
Mkuu mimi sina jibu ila kama ungejaribu ku 'deal' na google vizuri at least utapata majibu.
 
Kweli watu tupo tofauti, yaan huwa nataman ningekuwa na mdomo mweus na fizi nyeusii. Napenda haswa s unafki.😎😍😍
 
Mumunya ubuyu wa kutosha Kila siku ndani ya muda nadhani lips zitabadilika
 
Wakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.

Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu akiniona ananiambia vipi unavuta bangi asee huwa na boreka kinyamaaaa.

Au ukipiga story ukicheka utaskia mtu anaropoka pembeni kashakula majani ya bob.

Ila shida ni hizi lipsi nyeusi.

Sa naomba kupata msaada nafanyaje...??
Nipate lipsi zisizo onesha kula msuba

Alisikika jamaa mmoja anaomba ushauri kuhusu lipsi zake.[emoji23]
Ale mavi ya mbwa, yako na joto joto sana 💋 zitakuwa red and romantic ushauri wangu ume base kwenye paragraph ya mwisho
 
Haziwezi kubadilika hizo bila kuacha kutumia chanzo hicho kilichozibadilisha(msuba na fegi).Ukikaa miaka kadhaa bila hizo mambo lips zitarudi kwenye hali yake(according to research).
 
kweli kabisa inaonesha bado anatumia msuba
 
Back
Top Bottom