Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Alie sikika akiongea ama...?Jinsia yako tafadhali.
Zaburi 139:14 Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwaWakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.
Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu akiniona ananiambia vipi unavuta bangi asee huwa na boreka kinyamaaaa.
Au ukipiga story ukicheka utaskia mtu anaropoka pembeni kashakula majani ya bob.
Ila shida ni hizi lipsi nyeusi.
Sa naomba kupata msaada nafanyaje...??
Nipate lipsi zisizo onesha kula msuba
Alisikika jamaa mmoja anaomba ushauri kuhusu lipsi zake.[emoji23]
Acha fegiWakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.
Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu akiniona ananiambia vipi unavuta bangi asee huwa na boreka kinyamaaaa.
Au ukipiga story ukicheka utaskia mtu anaropoka pembeni kashakula majani ya bob.
Ila shida ni hizi lipsi nyeusi.
Sa naomba kupata msaada nafanyaje...??
Nipate lipsi zisizo onesha kula msuba
Alisikika jamaa mmoja anaomba ushauri kuhusu lipsi zake.[emoji23]
Tumia carotone BSC ni kikopo kidogo kinauzwa elf5, paka usiku mda wa kulala ili usijilambe mdomoWakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.
Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu akiniona ananiambia vipi unavuta bangi asee huwa na boreka kinyamaaaa.
Au ukipiga story ukicheka utaskia mtu anaropoka pembeni kashakula majani ya bob.
Ila shida ni hizi lipsi nyeusi.
Sa naomba kupata msaada nafanyaje...??
Nipate lipsi zisizo onesha kula msuba
Alisikika jamaa mmoja anaomba ushauri kuhusu lipsi zake.[emoji23]
Hiyo inaitwa Kifutiooo.Kunywa K-Venga
Ale mavi ya mbwa, yako na joto joto sana π zitakuwa red and romantic ushauri wangu ume base kwenye paragraph ya mwishoWakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.
Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu akiniona ananiambia vipi unavuta bangi asee huwa na boreka kinyamaaaa.
Au ukipiga story ukicheka utaskia mtu anaropoka pembeni kashakula majani ya bob.
Ila shida ni hizi lipsi nyeusi.
Sa naomba kupata msaada nafanyaje...??
Nipate lipsi zisizo onesha kula msuba
Alisikika jamaa mmoja anaomba ushauri kuhusu lipsi zake.[emoji23]
kwamba hujaolewa alichoandika mleta mada au ndo kutafuta likes za kijingaAcha kuvuta bange na sigara
kweli kabisa inaonesha bado anatumia msubaHaziwezi kubadilika hizo bila kuacha kutumia chanzo hicho kilichozibadilisha(msuba na fegi).Ukikaa miaka kadhaa bila hizo mambo lips zitarudi kwenye hali yake(according to research).
Tumia Vaseline lip therapy..