Nitumie nini kuondoa weusi kwenye midomo (lips)

Ilimradi wewe unajua umeshaacha mafekechee, isikusumbue wengine wanasemaje kuhusu wewe.

Unaweza kupata ufumbuzi wa kuondoa weusi, lakini lips zikawa laini ukaanza kusikia wanasema mbona ana lips laini sana, utafanyaje?
 
Weka picha
 
Nilishawahi kusikia eti bangi na sigara zinasababisha sana lips kuwa nyeusi,mf.huku Africa wapo wengi mbona wazungu lips zao haziwi nyeusi, au baadhi ya Black Americans wana lips za pink wakati wengi wanaongoza kwa kuvuta au kuna vitu wanapaka[emoji15]
 
Lips nyeusi ni kwamba melanin ni mingi na waafrika tumebarikiwa melanin lakini pia kupigwa na jua kunafanya ziwe nyeus

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…