Nitumie njia gani kumuacha?

lovelove

Member
Joined
Aug 22, 2011
Posts
21
Reaction score
3
habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa
kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa. kifup nmemchoka na tabia zake na ushirikina wake sasa cjui nimuache vip kwan nmemwambia live cmtaki bado hanielewi. nisaidieni jamani.
 
nguvu ya uchawi ni wewe mwenyewe
ukiamini atakudhuru na uchawi utadhurika hata kama hakuna uchawi

ukisema toka moyoni,fanya lolote utakaloweza,hunitishi...
hata atembee uchi mchana,hudhuriki
 
Watu wanapenda kutisha wenzao huyo hata kwa mganga hajaenda anakujengea woga tu, wee mwambie damu ya Yesu yanilinda basi.
 
well said the boss. pia jiimarishe kiimani,sali na kumuomba mungu akutenge na uovu na akukutanishe na muujiza wako. utashangaa na yeye hana habari na wewe.
 
sasa kuambiwa kurogwa au kuuwawa kichawi ndo utadhurika ??? je ni mara ngapi anakuambia utanikoma na huoni lolote???
 
Hakuna cha uchawi wala kurogwa huyo anakutisha tu. We shikilia msimamo wako atachoka mwenyewe.
 
sasa kuambiwa kurogwa au kuuwawa kichawi ndo utadhurika ??? je ni mara ngapi anakuambia utanikoma na huoni lolote???




mara nyingi 2, c unajua tena uoga bt hakuna lililonipata
 
nguvu ya uchawi ni wewe mwenyewe
ukiamini atakudhuru na uchawi utadhurika hata kama hakuna uchawi

ukisema toka moyoni,fanya lolote utakaloweza,hunitishi...
hata atembee uchi mchana,hudhuriki

ok, the boss thanx.
 
hbu jaribu kutafuta kijana afu akufumanie kwa makusudi ka wote mtakufa si basi coz ni nature na hamtakua wa kwanza
 
mi sjakuelewwa....NANI AUMTAK KATI YA AO?
X BFREND AU BABAWATOTO?
sjakusoma....
 
we na wewe unapata taabu si uwapende wote tu...mbona wenzio wanaweza kuwa nao hata 3
 
kufa ni must ht ukibaki nae utakufa 2. embu jaribu kuachana nae ukifa si basi.
 
Hakuna kitu kama hicho, ila kwa nini unamwacha mzazi mwenzako?
 
Unampenda sana unajikanyaga tuu, ingekuwa kweli humtaki ungechukua hatua fasta za kumuacha. Mimi nijuavyo watu wanaomba ushauri kumpata mtu na si kumuacha
 

Nilidhani ni MUME, kumbe ni baba watoto!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…