Ni kweli dawa ya deni ni kulipa, saivi nipo dsm shule niliyosoma advance ipo Moshi (nilisomeshwa tu na mama mmoja baadae alipata changamoto mambo yakawa magumu, sasa niiende Kwa mkuu wa wilaya nipewe kibali, nilikosa selection) cha kuchangisha muda si rafiki pia sabu hapo ni processDawa ya den n kulipa
Lakn nenda ofs ya mkuu wa wilaya elezea shida yako then labda wanaweza kupa kibal chakuchangisha hy pesa
Pili nenda shule kaongee nao labda wanaweza kukuelewa
Chuo ulipata bumu au ilikuaje?
Mwisho omba msaada humu wana jf hawana NOMA wanasaidiana SANA TU ila laZima uwe mkweli
Basi kalipie hiyo 1mNihonge nn sasa mkuu ikiwa lazima CHETI niwe nacho