Nitumie utaratibu gani kubadili jina langu chuoni?

pitbull

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
596
Reaction score
184
Je! kuna njia yoyote naweza kufanya ili nibadili jona kwenye vyeti vyangu nipo chuo kikuu now na jina ninalotumia limekosewa
 
Ndio... Unaweza kubadili jina. Unaenda kwa mwanasheria anakuandalia document inayoitwa deed poll, na kuapa. Thence from you will be referred by that other name.
 
Ndio... Unaweza kubadili jina. Unaenda kwa mwanasheria anakuandalia document inayoitwa deed poll, na kuapa. Thence from you will be referred by that other name.

vp kuhusu document zangu kama vyeti etc.
 
vp kuhusu document zangu kama vyeti etc.

vyote vyeti na other documents kama hati, ukishapewa hiyo deed poll unaenda kuisajili DAR WIZARA YA ARDHI, malipo hayapungui 82500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…