Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo.mbolea zingine unajua kutumia?
Tutumia kama unavyotumia nyingineNdiyo.
Matumizi ya mbolea hayafanani.Tutumia kama unavyotumia nyingine
Asante sana kwa ushauri wako.Unataka utuibulie Corona nyingine?
MTAFUTE AFISA KILIMO MZOEFUMatumizi ya mbolea hayafanani.
Matumizi ya samadi si sawa na mbolea za viwandani.
Nimeambiwa mbolea ya popo ni kali kuliko za wanyama wengine.
Inaelezwa kuwa ina naitrojeni nyingi.
Hata hivyo, hata mbolea za viwandani zinatofautiana kati ya moja na nyingine.
SA si sawa na Urea.
NPK/TSP si sawa na CAN nk