Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Kila kiatu ni ghali Dodoma au ni baadhi ya viatu viatu imara na kwabei nzuri vinapatikana Dar na Mwanza ni wewe tu.Viatu vya kiume ni ghali sana Dodoma kiasi kwamba nimekuwa muumini wa open shoes hadi nimeanza kuziuza kwa uchache.
nielekeze chimbo kali la kupata viatu kama air jordan, supra, travota n.k ambavyo nikivitoa huko na kuvileta Dom nitauza kwa bei rafiki.
We ndio mmiliki wa account instagram wauza viatu, njoo Kariakoo2020Niulizie chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume na viatu venyewe
Natumaini mko wazima wa afya mwenye changamoto za maisha hapa na pale pole sana amini kila jambo linapita na litakuacha ukiwa imara zaidi ya jana.
Ok
Tuingie kwenye mada moja kwa moja
Pengine ulishatamani sana kufanya biashara ya viatu ila haujui uanzie wapi.
USIJALI
Leo nitakupa A B C kuhusu hii biashara changamoto zake faida zake na mengineo mengi natumaini utafurahi na kujua mengi kuhusu biashara ya viatu.
Karibu kwa maswali nitakujibu hapa hapa View attachment 1564143View attachment 1564144View attachment 1564146
Sorry boss nauza special tu.Raba Kali za mtumba balo bei gani
Ungeweka namba mkuu.Niulizie chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume na viatu venyewe
Natumaini mko wazima wa afya mwenye changamoto za maisha hapa na pale pole sana amini kila jambo linapita na litakuacha ukiwa imara zaidi ya jana.
Ok
Tuingie kwenye mada moja kwa moja
Pengine ulishatamani sana kufanya biashara ya viatu ila haujui uanzie wapi.
USIJALI
Leo nitakupa A B C kuhusu hii biashara changamoto zake faida zake na mengineo mengi natumaini utafurahi na kujua mengi kuhusu biashara ya viatu.
Karibu kwa maswali nitakujibu hapa hapa View attachment 1564143View attachment 1564144View attachment 1564146
Namba yangu hii boss 0768480963Ungweka namba mkuu[emoji3578][emoji3578]
Chukua namba yangu 0768480963 nitumie viatu unavyotaka nitakupa kwa bei nzuri.Dodoma kila kiatu ni ghali na ninavyovipenda mimi ndio balaa kubwa.
Dar chimbo gani na Mwanza chimbo gani?
Ntakufollow soon mkuu.... Nimeipta na nimeisave pia.Namba yangu hii boss 0768480963
Open shoe ya Clarks bei ya jumla?Niulizie chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume na viatu venyewe
Natumaini mko wazima wa afya mwenye changamoto za maisha hapa na pale pole sana amini kila jambo linapita na litakuacha ukiwa imara zaidi ya jana.
Ok
Tuingie kwenye mada moja kwa moja
Pengine ulishatamani sana kufanya biashara ya viatu ila haujui uanzie wapi.
USIJALI
Leo nitakupa A B C kuhusu hii biashara changamoto zake faida zake na mengineo mengi natumaini utafurahi na kujua mengi kuhusu biashara ya viatu.
Karibu kwa maswali nitakujibu hapa hapa View attachment 1564143View attachment 1564144View attachment 1564146
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]MWANAUME WA KWANZA KUNUNUA KIATU TANZANIA ALIKUWA NANI?
HahahahahaMWANAUME WA KWANZA KUNUNUA KIATU TANZANIA ALIKUWA NANI?
Vitu vya kuzingatia ni eneo zuri lenye mzunguko cha pili umakini katika kuchagua mzigo na chatatu uwe na mtaji mzuri kwasababu moja ya biashara inayotaka mtaji usiyoyumba.Kwa mfanya biashara mpya kabisa unamshauri vitu vipi vya kuzingatia kabla hajaanza hii biashara?
Karibu sana boss.Ntakufollow soon mkuu.... Nmeipta na nmeisave pia
Kuna jumla mara mbili kuna anayechukua kwa katoni na kuna anaye chukua pea tano au 3 wote hao ni jumla bei zinatofautiana.Open shoe ya Clarks bei ya jumla?
Machimbo ya viatu?Vitu vya kuzingatia ni eneo zuri lenye mzunguko cha pili umakini katika kuchagua mzigo na chatatu uwe na mtaji mzuri kwasababu moja ya biashara inayotaka mtaji usiyoyumba
Ukiitaji boss nitafute kwenye namba yangu 0768480963 nitakusaidia bure kabisa kupata viatu vizuri kwa bei nzuri.Machimbo ya viatu?