Niulize chochote kuhusu biashara za Buguruni

Niulize chochote kuhusu biashara za Buguruni

K W L

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
232
Reaction score
48
Heshima kwenu wakuu;
Hapa buguruni ilala dar kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu biashara za vifaa vya ujenzi. Hivyo basi leo nitajibu baadhi ya maswali machache nitakayoulizwa.
 
Mkuu nasikia pale buguruni unaweza uziwa mbao famba. Nasikia jamaa wana tape zimekatwa na kuungwa. Pia nasikia na mabati famba kibao. Leta maelezo mkuu
 
Heshima kwenu wakuu;
Hapa buguruni ilala dar kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu biashara za vifaa vya ujenzi. Hivyo basi leo nitajibu baadhi ya maswali machache nitakayoulizwa.
Hivi yule binti albino pale Kimboka yupo?
 
Nasikia nyapu inauzwa sana maenso hayo
 
Nimekuja angalia biashara ya buguruni shell kumbe vifaa vya ujenzi gademn!..
 
Hapo mitaa ya buguruni kuna ka gari aina ya corolla E100 kamechokaa,wameka pimp afu nyuma kameandikwa BUGATTI VERON hahah.Kananikosha sana.

Mada iendelee tafadhali.
 
Mkuu naskia kuna vitoto vya kiarabau na kipemba maeneo ya Buguruni vizuri tu na vibichi kabisa ila maisha yao ni duni tu.

Hili jambo ni kweli Mwana Buguruni...?
 
Back
Top Bottom