Niulize Chochote kuhusu Goba

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
358
Goba ni mji unaokua kwa kasi ya ajabu
Thread hii natoa fursa kwa watu wanaotaka kuijua Goba kiundani zaidi kuuliza maswali na wenyeji wa Goba tutayajibu kadri tuwezavyo
 
goba karibu na mashamba ya mheshimiwa Yusuph Makamba viwanja wanauzaje?
 
Goba unapitia Tangi Bovu au Samaki? Kuna project ya Viwanja vya kupimwa huko vya serikali au ni skwata?
 
utaratibu wa kulipia kodi za majengo goba ukoje ukizingatia viwanja vingi bado havijapimwa?
 
Goba unapitia Tangi Bovu au Samaki? Kuna project ya Viwanja vya kupimwa huko vya serikali au ni skwata?
Unapitia samaki
Kulikuwa na negotiation na kampuni ya upimaji....wananchi wakaigomea kwenye mkutano wakajipange vizuri
 
Sio GO-BACK mkuu,
Wale vigagula wazee wa kizaramo walipokufa ndio mji huo ukaanza kujengwa na viwanja kuuzwa, zamani ilikuwa ukienda unarudi na kuwaachia hali yao kama palivyo hawakutaka changes, si unajua vichawi! Kwa hiyo una go back,
 
Unalikumbuka basi la kijiji cha goba miaka ya 88. Lilikuwa dogo hivi na wazee wana siti zao hata apandie wapi atapishwa. Siti yake. Chako changu likiitwa
 
Goba unaweza kuingia kupitia mbezi tangi bovu au mbezi Luis kulingana na unapotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…