mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
Kwann Goba wanapenda sana kuvamia majumba hasa kwa wageni wanaohamia?? Hadi kujeruhiGoba ni mji unaokua kwa kasi ya ajabu
Thread hii natoa fursa kwa watu wanaotaka kuijua Goba kiundani zaidi kuuliza maswali na wenyeji wa Goba tutayajibu kadri tuwezavyo
Mkuu liliitwa " hiki nini?",Unalikumbuka basi la kijiji cha goba miaka ya 88. Lilikuwa dogo hivi na wazee wana siti zao hata apandie wapi atapishwa. Siti yake. Chako changu likiitwa
Hapo sifahamu mkuu, tujuze , mm nilikuwa natoa tu mawazo yangu sio fact about the name GOBA,NINI asili ya jina Kinzudi?
Dah hii historia umeipata wapSio GO-BACK mkuu,
Wale vigagula wazee wa kizaramo walipokufa ndio mji huo ukaanza kujengwa na viwanja kuuzwa, zamani ilikuwa ukienda unarudi na kuwaachia hali yao kama palivyo hawakutaka changes, si unajua vichawi! Kwa hiyo una go back,
Goba ni mji unaokua kwa kasi ya ajabu
Thread hii natoa fursa kwa watu wanaotaka kuijua Goba kiundani zaidi kuuliza maswali na wenyeji wa Goba tutayajibu kadri tuwezavyo
mkuu wew ni mkongwe wa Goba?Unalikumbuka basi la kijiji cha goba miaka ya 88. Lilikuwa dogo hivi na wazee wana siti zao hata apandie wapi atapishwa. Siti yake. Chako changu likiitwa
Urusi
umenkumbushia mbali sana lastanzaLa stanza bado inakesha? Geometry unaongelea Mr Ulomi kama sikosei
Hilo ni jina la mtu kuna mzee alikuwa anaitwa GOBA ukitoka kituo chakwa AWADHI sogea mpaka MWEMBE MADOLE kama unaitafuta NJIA PANDA NNE ndipo alipo kuwa anakaaAsili ya hilo jina ilitokea wapi
Anhaa kumbe ndio hivyo mkuuHilo ni jina la mtu kuna mzee alikuwa anaitwa GOBA ukitoka kituo chakwa AWADHI sogea mpaka MWEMBE MADOLE kama unaitafuta NJIA PANDA NNE ndipo alipo kuwa anakaa
hata umemalizaTupe bei ya viwanja huko tuwe jiran zako
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]hata umemaliza
Chenye nlikua Nasema
Bibie ukhuty [emoji8] [emoji8]
Akikujibu nishtueTupe bei ya viwanja huko tuwe jiran zako
inategemeana sana, unaweza kuambiwa mil 5 mpaka 12 kwa kiwanja cha 20*20, inategemeana na location, ukaribu na barabara au majirani. unaweza kushangaa unaambiwa viwanja hapa ni bei ghali kisa jirani wamejenga watu maarufuAkikujibu nishtue