Niulize chochote kuhusu programming language

claudematemu

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
279
Reaction score
437
Wadau kwema
Niulize chochote kuhusu programming language
1.PHp
2 javascript
3.mysqli

Additional java.
Jquery na ajax.

Karibuni.

Updated:
Programming language ni kitu haswa? Wewe unaelewa nini kuhusu programming languages?

Kaa hapa hapa utajifunza mengi.

Programming languages ni lugha ya computer inayoamuru kumpyuta kufanya jambo flani ambalo mhusika anahitaji yaani unaweza kufanya kila kitu unachotaka kwenye programming language.

Kwa kifupi zaidi ni command language.

Programming language zipo nyingi saana ia nitataja chache ambazo wengi ndo tunatumia


Zifuatazo ni programming languages
1.PHP
2.JAVA
3.JAVASCRIPT
4.PYTHON
5.C
6.C#
7.SWIFT
8.RUBY
9.DART
10.KOTLIN
Special
Mysqli.

kwenye hii mada mimi nitaenda kuzungumzia
Baadhi ya programming language indeep
1.PHp
2.JAVA
3.JAVASCRIPT
4.MYSQLI

Itaendelea...

Teari tumeshafahamu maana ya programming language sasa tunaenda kuzungumzia vitu ambavyo tunapaswa kuvifahamu pale tunapojifunza lugha hizi kwa bahati nzuri sheria ni zile zile sema kwenye uandishi ndo kuna tofauti.

VITU VYA MUHIMU UNAPASWA KUFAHAMU UNAPOSOMA PROGRAMMING LANGUAGES.
Hizi ndo tunaziita concept.

1.VARIABLE
2 ARRAY
3.FUNCTION
4.IF ELSE STATEMENT
5.COMMENT
6.LOOP
7.DATE
8.MATH OPERATOR
9.LOGICAL OPERATOR
10.SWITCH

Zipo nyingi lakini ukiweza kuzi master hizi vizuri utaona programming languages ni rahisi saaana hii ndo concept zenyewe

Nitakuja kuelezea moja moja na mifano yake.

Update:
Mods naomba mbadilishe kichwa cha huu uzi
MUANDIKE JIFUNZE PROGRAMMING KWA LUGHA YA KUSWAHILI.
 
Habari Mkuu, naomba nisaidie code za C za swali hili:-


1. Write a program to replace each constant in a string with the text one except letter „z‟ „Z‟ and „a‟ „A‟ . Thus the string “Programming in C is fun” should be modified as “Qsphsannjoh jo D jt gvo”.
 
Mkuuu hii language niliacha kuisoma kitambo saana ila nitajaribu kukusaidia
 
function greet() {
a = "indian"
}
Mkubwa variable a ni local variable au global variable

Hii ni code ya JavaScript
 
Unazingua flutter siyo programming language ni framework, programming language yake ni Dart
 
Mie nimejifunza mwenyewe, kupitia vitabu na YouTube tutorials, language ya Visual basic kutengeneza Window applications.
Japokua VB inabezwa na wengi lakini binafsi nimeamua nikomae nayo hivyo hivyo.
Je, siku nitakapoamua kuanza kujifunza C# programming language nitakuwa najifunza vitu vipya?
 
Msaada kufanya deserialization over socket java.
client ata serialize object then kutakua na db server ambayo itafanya deserialization na ku insert data kwenye db.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…