Niulize chochote kuhusu uchimbaji wa Visima

Niulize chochote kuhusu uchimbaji wa Visima

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,636
Reaction score
2,053
Uliza chochote unachotaka kufahamu juu ya uchimbaji wa visima

#VisimaNafuu

0689 150 968
20220704_173546.jpg
 
Taja mbinu mnazotumia kugundua sehem zenye maji meng bila kutumia vifaa vya kisasa...
Mbinu gn inatumika kuepuka maji yenye chumvi
Kwa kutumia nazi,kutumia,mayai,kutumia vijapanda vya miti hizi njia zote unaweza kujuwa eneo lenye maji
 
Kwann mnachaji hela nying sana kuna kitu gan cha gharama hapo.
 
Taja mbinu mnazotumia kugundua sehem zenye maji meng bila kutumia vifaa vya kisasa...
Mbinu gn inatumika kuepuka maji yenye chumvi
Nina kisima M 11 Cha kuchimba kwa mikono(ring).Jamaa aliyechimba alitumia yai la kuku kienyeji kupima.unaweka sindano juu yake(sindano ya kushonea nguo)unailaza juu ya yai unazungusha,kama sindano ikianguka hakuna maji au ikizunguka kidogo ikaanguka ujue maji yapo ila machache sana,kwangu eneo nililomuonyesha aanzie kupima sindano ilizunguka juu ya yai muda mrefu haikuanguka chini ilibaki juu ya yai.(kumbuka:sehemu niyomuonyesha aanzie kupima nilishaipima kwa macho kuwa inayo maji(Hii ni elimu ndogo ya geography 0 level) ,nilitaka kumpima na imani zake)alisema maji yapo nikampa dili akachimba maji ya kimwaga lita 3000 navuta Kila baada ya masaa matano.Nampango wa kuongeza hadi M 50 nikijipanga fresh.(Maji hayo ni ya chumvi ila chumvi inapungua kadri ninavyozidi kushuka chini.(ingawa ni ya chumvi ila mifugo yangu inainjoi halikadhalika mimea pia)
 
Huwa nasikia kuna utaratibu wa kupata kibari kutoka kwa Idara inayohusika na mambo ya Bonde(siijui vizuri). Hii ikoje.
 
Back
Top Bottom