Kuchimba kisima cha kawaida mwisho mita 15 baada ya hapo bonde ndo wanahusika nilisikia kwa mtu sina uhakika lakini ngoja mtaalam aje akupe muongozo.Huwa nasikia kuna utaratibu wa kupata kibari kutoka kwa Idara inayohusika na mambo ya Bonde(siijui vizuri). Hii ikoje.
Naomba unisaidie huu ujuzi mkuuKwa kutumia nazi,kutumia,mayai,kutumia vijapanda vya miti hizi njia zote unaweza kujuwa eneo lenye maji
TUNACHIMBA VISIMA VYABMAJI
Saiti location: Mwanza - Busweru
Urefu wa Kisima: Mita 130
Upana wa bomba: Inchi 5
Tunachimba Visima na kufanya underground water Survey kwa ghalama nafuu kabisa
0689 150 968 / 0625 557 395 / 0764 418 248
#VisimaNafuu View attachment 2569823
Ghalama za uchimbaji zinatofautiana kutokana na saiti ilipo hebu niambie boss saiti yako iko wapi?
Tunangoja Majibu YaoKwa matumizi ya nyumban sh.ngapi ?
Kwa nyamadoke mita shingapi? Na water table approx ni mita ngapi? Na je bomba na pampu zikiwa juu yangu gharama ni shingapi?Ghalama za uchimbaji zinatofautiana kutokana na saiti ilipo hebu niambie boss saiti yako iko wapi?
Ipo busweluNyamadoke ipo wapi?
Ipo buswelu, hiyo bara bara ya mboga mboga !Nyamadoke ipo wapi?
Gharama alikufanyia bei gani mkuu?Nina kisima M 11 Cha kuchimba kwa mikono(ring).Jamaa aliyechimba alitumia yai la kuku kienyeji kupima.unaweka sindano juu yake(sindano ya kushonea nguo)unailaza juu ya yai unazungusha,kama sindano ikianguka hakuna maji au ikizunguka kidogo ikaanguka ujue maji yapo ila machache sana,kwangu eneo nililomuonyesha aanzie kupima sindano ilizunguka juu ya yai muda mrefu haikuanguka chini ilibaki juu ya yai.(kumbuka:sehemu niyomuonyesha aanzie kupima nilishaipima kwa macho kuwa inayo maji(Hii ni elimu ndogo ya geography 0 level) ,nilitaka kumpima na imani zake)alisema maji yapo nikampa dili akachimba maji ya kimwaga lita 3000 navuta Kila baada ya masaa matano.Nampango wa kuongeza hadi M 50 nikijipanga fresh.(Maji hayo ni ya chumvi ila chumvi inapungua kadri ninavyozidi kushuka chini.(ingawa ni ya chumvi ila mifugo yangu inainjoi halikadhalika mimea pia)
Anaejua wachimbaji wanaopina kienyeji mm ndio nawahitaji!! Ni wa uhakika
ChangamoAnaejua wachimbaji wanaopina kienyeji mm ndio nawahitaji!! Ni wa uhakika zaidi
Changakoto hawawezi kukwambia maji yapo umbali ganiAnaejua wachimbaji wanaopina kienyeji mm ndio nawahitaji!! Ni wa uhakika zaidi