In rough figure..Habari wadau wa jukwaa,ikiwa unaswali lolote unataka kuuliza kuhusu ufugaji wa samaki aina ya sato kwa vizimba (caging) niulize hapa nitakujibu kadri ninavyoelewa kwa uzoefu wangu katika aina hii ya ufugaji samaki wa vizimba.Karibuni
Kizimba kidogo cha chini kabisa ni mita 5 kwa 5(5×5)square/diameter.gharama ni tsh.4 milion,idadi ya vifaranga inabeba maximum 7000pieces of fish,operation cost inategemea nawewe unataka kuwavuna wakiwa na uzito gani au gram ngapi kwa PC,ukishajua unataka wafike uzito gani hapo ndio makadirio ya gharama za chakula hungia ambayo ndio karibu asilimia 70 ya cost ya mradi huingia huko(feeding),kuvuna ni miezi 6 minimum.In rough figure..
Gharama ya kutengeneza kizimba kimoja ni sh ngap?, ukubwa wake max unaweza kubeba samaki wangapi mpaka kufikia wakati wa kuvua, pia operation cost from umeweka vifaranga mpaka unaenda kuvua
Sio rafiki sana,watakua ila kwa slow growing kulinganisha na maeneo yenye hali ya hewa rafiki angalau joto licheze kuanzia 75F to 85F(24c to 29c).baridi likiwa kali kufikia 60F au 16c hawali vizuri wanakua dormant,pia joto likizidi 90F+ au 32c+ oxygen inakuwandogo kwenye maji.Japo ufugaji wa ziwani mfano lake Victoria na lake Tanganyika ni mzuri zaidi sababu hali ya hewa oxygen na mazingira nisahihi kwao.Maeneo ya baridi Kali Wana weza kustahimili?
Habari!Habari wadau wa jukwaa,ikiwa unaswali lolote unataka kuuliza kuhusu ufugaji wa samaki aina ya sato kwa vizimba (caging) niulize hapa nitakujibu kadri ninavyoelewa kwa uzoefu wangu katika aina hii ya ufugaji samaki wa vizimba.Karibuni
Ni process inayohusisha wizara ya uvuvi na maliasili(serikali), kifupi majibu mazuri utayapata huko hasa katika vibali maana vinamilolongo mingi,maeneo rahisi ninayofahamu mimi ni kukodi maeneo yaliyopimwa tayari yaliyo fanyiwa utafiti na TAFIRI na kupata Kibali cha wizara haya maranyingi yanamilikiwa na watu wenye vibali so mfugaji hukodi kwa kati ya 500000 hadi 1ml kwa mwaka.(haya ndio najua zaidi sina experience yakutosha kwenye kumiliki Fukwe za kufugia na vibali)Habari!
Naomba kujua hatua za kufuata ili kupata kibali kuwa na kizimba ziwa victoria.
Gharama za vibali pia.