Niulize chochote kuhusu utalii wa ndani na nje au kuhusu hifadhi yeyote ya taifa na shughuli zanazopatika katika maeneo hayo

Niulize chochote kuhusu utalii wa ndani na nje au kuhusu hifadhi yeyote ya taifa na shughuli zanazopatika katika maeneo hayo

Joined
Dec 21, 2023
Posts
96
Reaction score
183
Habari zenu wana janvi

Leo nitajibu maswali yote yanayohusiana na utalii wa ndani na nje pamoja na shughuli za kitamaduni zinazofanyika katika aina hizi za utalii.

Nitajibu maswali yote kwa umakini na uelewa hivyo nawakaribisha kwa maswali kuanzia sasa!

Karibuni katika uwanja wa maswali.
 
Nn maoni yako kuhusu Filamu ya Royal Tour Starring Rais Samia Suluhu Hassan?
 
Nilitembelea Livingstone tabora mwaka 2021 pametelekezwa sana shida nini
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Habari zenu wana janvi

Leo nitajibu maswali yote yanayohusiana na utalii wa ndani na nje pamoja na shughuli za kitamaduni zinazofanyika katika aina hizi za utalii.

Nitajibu maswali yote kwa umakini na uelewa hivyo nawakaribisha kwa maswali kuanzia sasa!

Karibuni katika uwanja wa maswali.
Prof upo,? Sioni ukijibu chochote au tufanye harambee ya kukununulia bando,?
 
Hivi kwa nini demu ukimpiga pipe analalamika kuwa una muumiza alafu ukitoa analalamika tena eti mbona umetoa
Huu ni utalii wa FARAGHA sio wa ndani wala wa nje, 😂
SIO MAHALA PAKE HAPA.
 
Ulisema kukodi gari ni 600k hapo ni gari pekee msos nijitegemee cameraman wangu yaani gari pekee600? Ni kwamba hamuujui uchumi wa watanzania ama makusudi haya?

Mfano nikiwa hifadhi ya seregeti nje na kuangalia wanyama nitapata burudani gani zingine?

Nikiwa na gari yangu narusiwa kuingia nayo hifadhini? kama siyo kwanini?

Mwisho mbususu zipo za kitalii au hadi niwe na kibali?
 
Unajua nin kuhusu selous game reserve kupitia morogoro
 
Nataka kwenda Serengeti, manyara au tarangize, niwe na bajeti ya sh ngapi kwa safari kama hii na nisiku ngapi?
 
Nilitembelea Livingstone tabora mwaka 2021 pametelekezwa sana shida nini
Livingston ipo barabara ya kiparapara maeneo ya kwihara, niliwahi kutembelea hilo eneo la makumbusho mwaka 2008 lakini kwa maoni yangu nafikiri ni kwasababu serikali huwa inaangalia sana maeneo ambayo yanawaingizia kipato auemaeneo ambayo ni maarufu sana katika sekta ya utalii ndio wanaipa thamani so Livingston huwa haijulikani sana sana nafikiri hivyo ndio sababu na pia kumbuka Livingston ni makumbusho yenye siri nyeti sana na kama uliskiliza historia vizuri basi utagundua kuwa Livingston ni kama sehemu ya siri licha ya kuwa ni makumbusho ya Dr David Livingstone pale kuna maandaki katika ile sehemu ya barabara ya kuelekea kiparapara, hivyo lile eneo ni lakijeshi zaidi.
 
Unajua nin kuhusu selous game reserve kupitia morogoro
Ndiyo, nina habari kuhusu Hifadhi ya Selous kupitia Morogoro. Hifadhi ya Selous ni moja ya hifadhi kubwa zaidi Afrika, ikiwa na wanyama wengi porini kama vile tembo, simba, na twiga. Hifadhi hii iko karibu na Morogoro, mkoa uliopo Tanzania. Ikiwa una maswali zaidi au unahitaji habari zingine kuhusu Selous au Morogoro, tafadhali niambie.
 
Ulisema kukodi gari ni 600k hapo ni gari pekee msos nijitegemee cameraman wangu yaani gari pekee600? Ni kwamba hamuujui uchumi wa watanzania ama makusudi haya?

Mfano nikiwa hifadhi ya seregeti nje na kuangalia wanyama nitapata burudani gani zingine?

Nikiwa na gari yangu narusiwa kuingia nayo hifadhini? kama siyo kwanini?

Mwisho mbususu zipo za kitalii au hadi niwe na kibali?
Pole kwa kukosea, bei niliyotaja ni kutokana na kukodi gari pekee, hivyo unahitaji kujitegemea kamera na mwongozaji wako. Bei za huduma zinaweza kutofautiana kulingana na mahitaji na vigezo mbalimbali. Kuhusu uchumi wa Watanzania, ni vyema bei zizingatie uwezo wa wananchi ili kuwafanya wengi wapate fursa ya kufurahia huduma bila kuwa mzigo kwao.

Katika Hifadhi ya Serengeti, mbali na kuangalia wanyama, unaweza kufurahia vivutio vingine kama mandhari nzuri, utamaduni wa Kitanzania, picha za kipekee, na kuwa karibu na asili na mazingira ya porini.

Kwa kawaida, Hifadhi za Taifa zinaruhusu wageni wanaoingia na magari yao, lakini ni muhimu kufuata sheria na kanuni. Wageni mara nyingi huarifiwa kuhusu masharti ya kuingia na magari binafsi.

Kuhusu mbususu za kitalii au vibali, ndiyo, mara nyingi shughuli za kitalii kama safari za miguu au game drive zinahitaji vibali maalum kutoka kwa mamlaka husika. Ni muhimu kufuata sheria za hifadhi ili kuepuka matatizo na kufurahia uzoefu wako kikamilifu.
 
Tofauti ya national park na game reserve ni ipi
 
Back
Top Bottom